Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakurugenzi wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera,Nasor Seif (kushoto) na Seif Seif (katikati) wakati alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera jana. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya umwagiliaji katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Kagera wakati alipokitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera jana. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa huo, Mohamed Babu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kiwanda ya sukari au kiwanda cha sukari??nisaidie hapo jamani

    ReplyDelete
  2. Makubwa Selikali nzima inaongelea sukari..wakitoka hapo wapo kwene umeme...Sukari yenyewe inamagonjwa kibao lakini leo hii nchi nzima sukari..mawaziri na misuti kaunda kwene mjuwa mkali kujifanya wazungu.

    ReplyDelete
  3. wow, nice to see that we are using advance irrigation, why aren't we spreading this technology all over the country?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...