
Bosi wa IMF Dominique Strauss-Kahn akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa New York akielekwa rumande baada ya kukataliwa dhamana ya dola milioni moja na mahakama moja ya Manhattan jijini New York. Wakili wake amesema Strauss-Khan amekana mashtaka hayo ambayo akiatikana na hatia anaweza kula mvua 25.
Kwa chanzo cha habari na mapicha mengine kibao
Wabeba box wanalindwa USA sana tu kuliko hata waandika check. Kuna wengi tu wanakuja kwa speed wanasema anatabia ya kushikashika wanawake bila idhini yao. Halafu alimbaka mwanamkemwanake toka Africa mamammaaaaa sijui mbongo...Alizania atakaa kimya....kama ndio tabia yake ataoze Rikers Island.
ReplyDeleteThis is bigger than what people think.. The war is fought in many ways and America is showing how is taking care of these people who are known to take advantage of poor countries and people in general.
ReplyDeleteThey will all be exposed... all of them... even in Tanzania.. sasa ni Uganda.. who is next??
Hii ndiyo sababu kubwa naipenda Amerika, hapa sheria msumeno kweli kweli,
ReplyDeleteUkileta upuuzi wako ujue utakula mvuwa mpaka ukome, polisi hawajali cheo chako. Kikubwa ukiwa na mapesa ya kumwaga inabidi uchukue wanasheria wakali wakutete ambao watakula hela yako mpaka ukome, na vilevile sio uhakika wa kushinda kwani inabidi wafanye kazi kubwa sana kuwashawishi watoaji hukumu (jury) ambao ni watu wa kawaida, hapo ndipo utamu unapoanza.
Hiyo mijizi inayojulikana bongo kwa kula rushwa na ufisadi wa mali za nchi mingi ingelikuwa inasota jela miaka mingi tu.
Mwenzenu, Makazi USA.
Jamaa nasikia ndio zake. Sasa amechezea namba mbaya. Akome kabisa, na urahisi atausikia kwenye bomba. Alishawahi kuwa na affair na mfanyakazi wa ngazi ya chini hapo hapo IMF. Ikawa kesi mwisho wa siku kawashinda kwa kigezo kuwa uhusiano wao ni wa maelewano. Imagine mume wa mtu na watoto 4. Hama kweli wanaume baba mmoja, mama mmoja, hamna cha mdhungu wala mwafrica wote ni cheaters tu! Sasa hili zee zima ovyo!
ReplyDeletehili zee linapepo wa ngono linapenda saana vibinti. alifkiri yuko ufaransa maana huko kaabaka wee kwa sababu ya uana siasa wake serekali imakaa kimya huko. ilaa huko kwa uncle sam lazima atie akili kichwani maana atany,ea debe mwaka mwehu mkubwa. wadhungu wote wakifika uzeeni hua wanaaingiwa na pepo mbaya wa ngono ndo maana huja africa maana wanajua huko wataopoa vibinti vidogo vidogo afu sheria hamna.
ReplyDeletemdau mahakama
wewe nawe una mawazo nusu unayesema wanaume wote sawa. kama huna hoja basi nyamaza soma za wenzako. we hata hujui kuwa samaki mmoja akioza unamtoa na kumtupa unaendelea kukaanga wengine au kutengeneza supu?!
ReplyDeletena huyo mdada alifuata nini chumbani wakati bosi wa IMF anaoga?! Njaa mbaya kweli! maana kama mtu anaoga wewe msafisha vyumba ulifuata nini chumbani?! ulikwenda kusafisha nini?!