Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,pichani na waislamu wengine wakishuhudia harakati za mazishi ya Msanii Maarufu wa muziki wa Taarab,Maulid Mohamed Machaprala,aliyezikwa kijijini Bambi wilaya ya kati Unguja.
Home
Unlabelled
buriani msanii Maulid mohamed machaprala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mzee Maulidi kapumzike pema peponi.
ReplyDeleteKwa kweli tumeuona mchango wako kwa upande wa michezo ulipokuwa kijana na vile vile kwa upande wa muziki kama muimbaji mahiri.
Nyimbo zako siku zote zitabaki kwenye mioyo yetu.
BurianiMohamed Maulid Machaprala, hakika kazi yako itabaki daima na itaendelea kuwa lulu.
ReplyDeletemungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
AMIN
Huyu alikuwa goakeeper mahiri enzi za Challenge Cup, Africa Mashariki nzima alitamba ndio maana akapewa hili jina la Machaprala, sio jina lake ni la kimichezo. Wenye picha za Challenge timu ya Zanzibar hebu tutoleeni humu kwenye globu, Usanii na michezo ni asili ya ukoo wao lakini ni wajasiriamali maarufu pale zanzibar, maana ukoo wao ni maseremala nafikiri hata watoto wao wamerithi. Ah! ardhi inachukua watu. Kaalu inna lillahi wainna ilayhi raajijun
ReplyDelete