Huyu jamaa anakwenda kwa jina la Iman Carson, ni muigizaji na mchekeshaji. Clip hii niliiona kwenye stesheni ya luninga ya Al Jazeera, katika kipindi cha Listening Post, nikabaki nacheka mwenyewe kama mwendawazimu. Nimeona si vibaya tukaambukizana kicheko hiki. Hapa bwana Carson ameipinduapindua hotuba ya rais Obama, hotuba iliyokuwa ikihusu kuuawa kwa mkuu wa genge la kigaidi la Al Qaeda, Osama bin Laden.

Sasa tazama hotuba halisi ya rais Obama. Huyu jamaa angekuwa katika nchi fulani fulani wangekuwa washampoteza.



Video hizi zimeletwa na Mdau Bob Sankofa
wa Link

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2011

    BWANA WEEE ANKAL USIPOTEZEE WE TUWEKEE CLIP YA JANA PALE ANFIELD!! KWI KWI KWIIIIIIII.............
    mtu mzima aliadabisha home sweet !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...