KAYU LIGOPORA AMBAYE NI KATIBU WA JUMUIYA (KUSHOTO)AKIWA NA TASIA PAMOJA NA REHEMA LIKOHUGU.
WADAU MWATAMBAZ(ALIESHIKA KITUMBUA KUSHOTO) NA MUDIWEVU.
DA' MARIA AKIWA KWENYE SHOP YAKE.
DA' HAWA MANSOUR (KULIA)AKIPIGA STORI NA RAFIKI ZAKE WAKATI WA MAOSHESHO HAYO YALIYOFANYIKA MJINI ATHENS ,UGIRIKI KATI YA TAREHE 14-15 MEI,2011.
DA' HAWA NYAU
NINDI,MWASITI NA ZAY.
BAADHI YA WADAU MBALI MBALI WALIOJITEKEZA KWA WINGI KATIKA MAONYESHO HAYO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2011

    misupu kwenye picha ya nne umetema dongo!SIO MAOSHESHO NI MAONYESHO KAKA!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2011

    Mjomba wa anonymos hata wewe umetema dongo !SIYO MAONYESHO NI MAONESHO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...