TAJIRI WA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIMUITA MBWANA SAMATTA  KUMTAMBULISHA RASMI KWA VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU HIYO. SAMATTA AMENUNULIWA NA TP MAZEMBE KWA DOLA LAKI MOJA TOKA KWA WEKUNDU WA MSIMBAZI, SIMBA SC

MBWANA ALI SAMATTA AKIMWAGA SPECH KWA MASHABIKI WA TP MAZEMBE.

MBWANA ALI SAMATTA AKIWASILI UWANJANI KWA ULINZI MKALI.

RAISI WA TIMU YA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIWASILI UWANJANI KUMTAMBULISHA SAMATTA KWA MASHABIKI WA TIMU HIVYO.
KWA HABARI ZAIDI NA PICHA ZA MICHEZO MTEMBELEE SHAFII DAUDA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2011

    Jamani uwanja hauna hata majani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2011

    tatizo moja ni uvaaji wake especial hayo malapa... kwa special day kama hiyo alitakiwa awe ametunga suti..

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2011

    Labda ana fungus... Ndio maana akatinga malapa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2011

    hiyo malapa imemfanya achukize dah! hana washauri jamaa? zaidi twamtakia kila la heri atuwakilishe vema!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2011

    Eti suti wakati mwenye timu mwenyewe hajavaa hiyo suti, uwanjwa vumbi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2011

    Shaffii namjua uzushi wake. Hii ni event ambayo haikuwa special kwa Samatta kama anavyotaka ieleweke, bali Samatta mwenyewe kachomekewa tu ndo maana kaja na malapa aliyotoka nayo uswazi. Shaffii, huo u-Simba utakuharibia profession.

    ReplyDelete
  7. Ndugu yangu umesema Ukweli kuhusu Shafii! jamaa anasahau taaluma kabisa. au hajui maadili ya kazi zake. punguza ushabiki kwa Simba ndugu yangu. unaboa kweli. ukiona vipi omba kazi ya usemaji ili uwe hadharani kama wenzako. Ila dogo Samatta tunakutakia kila la kheri. usije ukarubuniwa kama mwenzako mmoja aliyepata timu bora na maisha mazuri akatoroka kurudi Bongo. wewe ndio imeshatoka. pambana ndugu yangu ili tuweze kuwa na nyota wa ukweli wa Tz.Mungu akubariki.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2011

    Wabongo siku zote mnaponda kwani angevaa suti ndio angefunga magoli checkini hiyo nyomi ilyokuja ku msurport huku atuwezi fanya hivyo zaidi ya majungu kama hayo hapo juu

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2011

    Watanzania kwa mambo ya kudhaniadhania hatujambo sana, halafu tunafanya kuwa ndio ukweli wenyewe!.. Huo uwanja huko kwenye matengenezo ndio maana unaona kuna vumbi. Acheni ushamba!!!

    Mimi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 31, 2011

    Nadhani mnaweza ona hata hao waliojishika mikono ni mafundi wakiwa na kofia za ufundi kujenga huo uwanja..

    Mimi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...