![]() |
| Baadhi ya marafiki wa Marehemu Mazembe Joseph Nyerere waliotoka Dar es Salaam hadi Butiama kwa ajili ya kumzika rafiki yao |
![]() |
| Picha ya Mazembe ikiwa katika jeneza muda mfupi kabla ya heshima za mwisho kijijini butiama |
![]() |
| Mama Maria Nyerere akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mazembe. Kulia kwake ni Jaji Aisha Nyerere |
![]() |
| Ndugu zake Mazembe wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi |
![]() |
| Mwili wa Mazembe ukishushwa kaburini kijijini Butiama. Picha na mdau Manyerere Jakton, Butiama |







May he rest in eternal peace. Amen.
ReplyDeleteRIP Brother
ReplyDelete