Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Alex Mwita akimkabidhi zawadi,  Bi. Domina Katunzi muuguzi mkuu mstaafu wa mkoa wa Kagera  wakati wa sherehe iliyioandaliwa na chama cha wauguzi mkoani kagera (TANA) iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Lake inayomilikiwa na chama kikuu cha ushirika mkoani Kagera. 
Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2011

    Hongera sana mama Katunzi...umeacha mfano wa kuigwa kwa ma-nurse na wafanyakazi wote wa idara ya afya mkoani Kagera...kwa uadirifu na uchapaji wako wa kazi...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...