Uncleeee.... Michuzi habari za leo? Wiki iliyopita nilikuwa kweye kiji-vacation kidogo cha Easter huko Tukuyu Mbeya.
Natanguliza shukrani zangu, Mdau Japhet. |
Home
Unlabelled
taswira toka tky
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Uncleeee.... Michuzi habari za leo? Wiki iliyopita nilikuwa kweye kiji-vacation kidogo cha Easter huko Tukuyu Mbeya.
Natanguliza shukrani zangu, Mdau Japhet. |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
eeh jamani michuzi umenikumbusha kwa babu yangu mchungaji Asegelile mwankemwa , ndipo alipokuwa anasalisha hapo kyimbala moravian! asante sana kwa kutuma hizi picha za nyumbani.
ReplyDeleteAsante sana umenikumbusha ujana wangu mpaka ushirika huko
ReplyDeleteHeee yaani hapo ni pale chini kidogo karibu inapo chipuka njia au kona ya kwenda Lutengano Secondary School, duuuh ni pazuri balaaa kuna mandhali nzuri kama Sweden vile, hongera mdau kwa kutukumbusha ma-homies.
ReplyDeleteMpaka nasikia hamu ya kwenda huko, big up Mdau.
Tutupie zingine jamani.
Mweeh mweee jo jwani ujuh atutwalile sisyisi?, ejooh kumyitu bhamanyani, kanghi bhangumbwisye Mbushirika na mwa-Lubharisi toghaga ijolooo bho tulibhanini.
ReplyDeletekweli wengi umetukumbusha mbali miaka ya 1980, hivi yule sufiani yuko wapi walikua na mabasi pale tukuyu ya mzee mmoja wa mwananchi guest house, akina Francic mwaijumba, kweli Tukuyu enzi hizo ilikua moto, ya kale dhahabu.
ReplyDeletejamani, TKY bomba sana,nakumbuka enzi hizo nasoma Lutengano sometimes unapiga teke hadi town
ReplyDeleteUmenikumbusha sana nikiwa chuo cha Msasani TUKUYU TTC hayo maeneo ndo tulikuwa tunavinjari sana na walimbwende wetu hahahahahaaaaaa safi sanaaaaaaa
ReplyDeleteHuko ndo alikotokea Babu wa Loliondo Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile
ReplyDeleteBig up kama uoto huo ni wa asili lakini miti hiyo mirefu kama ya kigeni "HORA"
ReplyDeletemandhari - muafaka, unaipata Mbeya, Kagera, Kilimanjaro, Lushoto - nisihisahau Chunya. Balaaaaa tuna vitu vingi vya kuiuza nchi kwa watalii
ReplyDeleteAnonymous wa 07:01:00pm umenichekesha,mambo ya michai chai kule chini. TCC OYEEE!
ReplyDeleteYaani umenikumbusha mbali sana maana nimesoma kyimbila primary school huko kwenye michai tulikuwa tunapita na umande pamoja na mvua lakini namshukuru Mungu nilifaulu darasa la saba na sasa nategemea kuanza degree ya tatu (PhD), mwee kukaja kununu fijo, ndaga nkamu utukumbwisye kumyitu
ReplyDeleteumenikumbusha mbali sana kwa bibi yangu wakati nasoma lutengano,, bibi alikuwa anakaa kiwira rodi pale jirani na kwa mwaikambo..
ReplyDeleteenzi hizo pale standi ya mabasi... mabasi ya mzee mwamtobe ndio yalikuwa yanatamba...Tukuyu ya sasa imejaa wachaga watupu.. kwakweni nimekumbuka nyumbani..
mwe!