Home
Unlabelled
YouTube Worldview Interview - President Paul Kagame, Rwanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wakisema leo tuchague nani awe rais wa africa mimi kura yangu nitampa kagame huyu jamaa ana akili sana na anajua nini maana ya kuwa kiongozi bora.tanzania inabidi tuige mfano wa huyu jamaa.
ReplyDeleteIla umesahau kwamba President Paul Kagame kasababisha mauwaji ya Waafrika huko Kongo,karibu Wakongomani 6.000.000 wameuwawa kwa uvamizi wa Jeshi la Rwanda nchini Kongo mwaka 1998-2003.
ReplyDeleteTUNAOMBA HATA NYIE MUWE NA UTAMADUNI WA KUWAFATA VIONGOZI WENU TANZANIA NA KUWAULIZA MASWALI YANAYOHUSU NCHI YETU,SIYO TU MUNATULETEA HABARI ZA WATU WENGINE,KWA MFANO MTU ANASEMA WANAJIVUA MAGAMBA,INGEBIDI HUYO RAISI AULIZWE KWA KINA ANA MAANA GANI,NA HATIMA YAKE NINI.SIYO TU TUNAAMBIWA ALAFU TUNALIACHA LILIVYO.TUTAFANYWA WAJINGA MPAKA LINI?
ReplyDeleteKagame in my opinion is the best president around, najua kuna watu wanasema ana mkono kwenye genocide but that has to be proved. Huyu jamaa naona yupo very serious na uongozi wake na kama Rwanda itakuwa na Kagame for the next ten years, itakuwa mfano wa pekee Afrika. Songa mbele Mr. President. Nilitaka kusema ningependa Kagame angekuwa rais wetu ila naogopa kusema hivyo.
ReplyDeletemdau namba 2 ww inaelekea hujui nini kimefanya rwanda ivamie kongo.utakua unapenda media za wale wale.congo imefuga majeshi ya zamani ya rwanda pamoja na nterahamwe. aho ndo wamefanya mauaji dhidi ya kabila la watusi nchini rwanda 1994. rwanda imesema never never again adui wake popote alipo tutamfuata huko nakumpa kipigo hamna damu kumwagika tena kwetu.
ReplyDeleteasante ankali kwa kutubandikia intavyu hii ya mzee kijana
Baada ya genocide kagame amehisika na mauwaji ya halaiki huko DRC. Siasa za sasa za Rwanda ni za kuwapa fursa zaidi WATUTSI. Ni suala la MUDA tu WAHUTU ambao ni wengi watarudi tena kwa mtutu na Rwanda itarudi pale lale (SQUARE ONE). Kwa misingi hii sioni kama Kagame ni raisi mzuri sababu ingawa emedanya mengi kiuchumi hajengi stability ya kuda mrefu kisiasa. Namuunga mkono anony hapo juu kwamba na waandishi wa habari wa Tanzania na wao wachukue initiative kuwahoji viongozi wetu
ReplyDelete