Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili,  baada ya kuandamana hadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dar es Salaam, kulalamikia kitendo cha uongozi wa Chuo hicho kukifuta  Chama cha Wanafunzi cha MUHASSO.
 Wanafunzi wakitawanyika baada ya kufikisha ujumbe wizarani
 Kina Ras Makunja wakizuka kama kawaida yao na magitaa mikononi tayari kuanza mziki
 Ujumbe ukiwasilishwa
 Wanafunzi wakiwa nje ya wizara ambayo ni beneti na Ikulu
 Kamanda Suleiman Kova akisilikiza ujumbe kwa makini

Kamanda Kova akiwasihi wanafunzi wafanya subira wakati malalamiko yao takifikishwa kunakohusika


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2011

    akina ras makunja naona wapo wapo tayari kwa kuanza sebene,sema tu wanafunzi washagutukia kuwa wakileata za kuleta mziki utaanza...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...