Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Twiga Bancorp wakati alipotembelea banda la Benki hiyo jana katika viwanja vya maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam.Nyuma ya Rais ni Ofisa mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp Hussein Mbululo.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia mkanda wa kipindi maalum cha shughuli mbalimbali za Twiga Bancorp baada ya kukabidhiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Beki hiyo Hussein Mbululo (kulia) wakati alipotembelea banda la Benki hiyo jana katika viwanja vya maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam.
Mwambie JK au mtoto wa mkulima kwamba kabwe wa Mwanza habebeki tens.
ReplyDelete