hii ni foloni ya leo jumamosi katika barabara ya Nkurumah road jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2011

    What a waste
    A waste of time
    A waste of precious fuel

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2011

    JAMANI MIE SWALI LANGU LA KIZUSHI?? JE HAPO KITUO CHETU CHA TRAIN NA TRAIN TUNASHINDWA KUITENGENEZA ISIWE NA KUTU NA PIA IWE SAFI NA PIA IWE INASHUSHA SEHEMU MBAZO INAPITA KAMA GONGO LA MBOTO HUKO???? TUKAPUNGUZA FOLENI ZA MA BUS NAZO WATU WAKAWA NA USAFIRI MWEPESI????? MTU SIKU AKIAAMULIZA KUWEKA SWALI KAMA HILI ITAKUWA VIZURI. MZ

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2011

    Barabara ya Nkrumah

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2011

    pangekuwa na reverse operations iliyobuniwa vizuri upande ule ungetumika.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2011

    Tumeshaa zoea hii hali wala msituonyeshe kwani sisi wenyewe tunaona, na kama nimaoni tumetoa sana ila viongozi husika masikio yamekufa na macho yamepofuka na miguu imevunjika wakati midomo imewekwa super glue.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...