Home
Unlabelled
mnyororo wa jumamosi huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
What a waste
ReplyDeleteA waste of time
A waste of precious fuel
JAMANI MIE SWALI LANGU LA KIZUSHI?? JE HAPO KITUO CHETU CHA TRAIN NA TRAIN TUNASHINDWA KUITENGENEZA ISIWE NA KUTU NA PIA IWE SAFI NA PIA IWE INASHUSHA SEHEMU MBAZO INAPITA KAMA GONGO LA MBOTO HUKO???? TUKAPUNGUZA FOLENI ZA MA BUS NAZO WATU WAKAWA NA USAFIRI MWEPESI????? MTU SIKU AKIAAMULIZA KUWEKA SWALI KAMA HILI ITAKUWA VIZURI. MZ
ReplyDeleteBarabara ya Nkrumah
ReplyDeletepangekuwa na reverse operations iliyobuniwa vizuri upande ule ungetumika.
ReplyDeleteTumeshaa zoea hii hali wala msituonyeshe kwani sisi wenyewe tunaona, na kama nimaoni tumetoa sana ila viongozi husika masikio yamekufa na macho yamepofuka na miguu imevunjika wakati midomo imewekwa super glue.
ReplyDelete