Tanzania yazidi kuwapagawisha wadau wa ughaibuni na sanaa ya utamaduni toka urithi wa babu zetu.  Tutizame clip hii jinsi walivyopelekeshwa mchakachaka hapo mjini Groznjan nchini Crotia na kundi la msanii Kauzeni Lyamba na wenzie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Safi sana, huna haja ya kiingereza hapo!!

    ReplyDelete
  2. kauzeni kamatia hapo hapo wapagawishe hivyo hivyo

    ReplyDelete
  3. Si mchezo,, jamaa kawashika kinoma...

    ReplyDelete
  4. poa sana Kau!,tumeona mpumwende kaka.

    Elzakoo.

    ReplyDelete
  5. Kisabengooo Kau Mwenyewe! hakuna kuweka Bee, Hakuna kurundika Makimba katika Mfuko Rambo. Ni panchi tu. Hakuna kubaeeka. Yani kitu siiiiiii! Mpumwende siyo wa Foooo kabisa.Tutakutana Bagamoyo diii!

    ReplyDelete
  6. Eee bwana hii poa kichizi. Endelea kuwakilisha kijana, safi sana. Nimeshajipatia soundtrack ya mnuso wangu unaokuja. tehe tehe!

    ReplyDelete
  7. Safi saaanaaaaaaaa! anawakilisha vema

    ReplyDelete
  8. Music was born in Africa. Believe it.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...