Ankal akilishwa keki na ubavu wake katika hafla fupi usiku wa kuamkia leo maskani yake huko Tandika  jijini Dar. Ankal anawashukuru wadau wote waliomtakia hepi besdei njema, anasema miaka kweli haigandi, tusiache kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa pumzi na afya njema kwa dua na sala kila saa na kila siku. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Hongera mwanagu ee hongeraa, nasi tuongere ee hongera...

    ReplyDelete
  2. Hahahahahahahahahaaaaaaa finaly tumemwona shangazi halisi naona ankal haukuwa na choice!!! hahahahaaa huyu ndo shangazi letu la nguvu! hahahahaaaaaaaaa! asante sana shangazi kwa kazi nzuri ya kumtunza ankal na kumwachia muda mwingi wa kutupatia habari za kila saa za bongo. Thanks auntii

    ReplyDelete
  3. Kaka kumbe we mtoto wa TMK mwenzetu! Poa sana hiyo. nilikuwa sijui.

    Lakini Kaka huyo picha ya kwanza, wa kwanza kulia mwenye kiblauz chekundu ndo sista wetu au?

    Nimem maind kichizi wangu!

    ReplyDelete
  4. Uncle MICHUZI,Mimi binafsi ninapenda kukupa hongera Mara mbili,kwanza kwa KUZALIWA UPYA na pili kwa KUISHI TEMEKE KWA WAJANJA......,Bila shaka ww utakuwa ni jirani yangu.
    N.B
    kwa kuishi kwako TEMEKE(TANDIKA) Naomba utumie fursa hiyo kuupload na kutuhabarisha matukio mbalimbali ya KIMICHEZO hasa MPIRA WA MIGUU yanayoendelea pala ktk kiwanja cha TANDIKIA(MABATINI) ili uweze Kuwatangaza VIJANA WETU AMBAO WANAVIPAJI LUKUKI VYA FOOTBALL KUTOKA TEMEKE.Nakutakia kazi njema

    ReplyDelete
  5. hapa umeniweza mpenz wangu yaani sina la kusema zaidi nawaachia waosha vinywa.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana ankle. Vipi birthday yangapi hii?

    ReplyDelete
  7. Huyo ni lazima atakuwa bi mdogo bi wakubwa wana nyodo hawawezi lisha waume zao keki kimahaba hivyo.Happy birthday.

    ReplyDelete
  8. ankali ndani ya uzi wa ukweli Lazima birthday ipendeze Michu.

    ReplyDelete
  9. Hongera sana mzee wa Tandika...TMK oyeeeeeee!

    ReplyDelete
  10. Amen Chuzi, Happy belated birthday nakutakia umri mrefu na afya tele.

    ReplyDelete
  11. UBARIKIWE MZEE WA LIBENEKE UFIKISHE MARA MBILI YA UMRI ULIOKUWA NAO SASA

    ReplyDelete
  12. Ankal kumbe tuna aunt mzuri hivyo. waw.... sasa mbona umetufichia muda wote huo jamani? au uliogopa wachakachuaji. congrats alot

    ReplyDelete
  13. Happy Birthday Muhidin Michuzi. Mwenyezi Mungu akuzidishie. Pia nakutakia Eid Mubarak.

    Mdau
    London

    ReplyDelete
  14. Happy belated Birthday and Eid Mubaraak. You have a beutiful wa - ubavu.

    ReplyDelete
  15. Acha hizo tupe picha zote tufaidi bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...