Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mhh! Mi chichemi!

    ReplyDelete
  2. Well Done Hon.Kairuki.Keep it up! We all like the challenges you bring about in our country.

    ReplyDelete
  3. Kaka Misupu,

    Kwani huyu ni Mke au Mtoto wa yule Marehemu Dokta Kairuki mwenye hospital yake pale sijui ndo Mikocheni au Ada Estate?

    ReplyDelete
  4. Anjela Mkwizu (a.k.a Anjela Kiruki "baada ya ndoa takatifu") hongera mwaya kufika hatua kubwa namana hiyo. Nakukumbuka wakati tukisoma Kilakala sec ulivyokuwa mdogo. Big up sana.

    ReplyDelete
  5. Mheshimiwa Anjela. Maoni yako yameelemea kwenye kupongeza vijana wengi kuingia mjengoni.Kwa maoni yangu naona hii ni njia mojawapo ya empowerment ya vijana.

    Ila hatujakusikia ukiongelea tofauti kati ya bunge lilojaa vijana na lile lilojaa wazee wazee katika kushughulikia matatizo ya nchi mfano ufisadi, rushwa n.k. ambavyo ndivyo hasa vinaididimiza nchi.

    Tunawatambua wabunge wachache ambao wanaonesha nia nzuri ya kupamabana na matatizo haya. Lakini hatujawasikia hao vijana wengi uliowasifia kuwa wameingia mjaengoni wakionesha nia thabiti ya kupambana na uchafu huu. Kupambana na rushwa, ufisadi n.k. kunahitaji dhmaira ya dhati kama aliyokuwa nayo marehemu baba wa taifa. Lakini sina uhakika kama dhamira ya aina hii ipo kwa vijana. Moja ya matatizo waliyo nayo vijana ni kutafuta utajiri wa harakaharaka na kwa nia za mikato.

    Je kama bunge likiingia vijana wengi wenye sifa kama hizi huoni kwamba ndio mtakuwa mmeimaliza nchi? Kuwepo kwa vijana wengi bungeni kunaweza kusilete tija yoyote kwa taifa kama hawataweza kutambua matatizo ya nchi kipindi wabunge wengi wakiwa wazee.

    Mojawapo likya matatizo ya wazee ilikuwa kupitisha hoja kwa kuangalia maslahi ya chama badala ya taifa. Pili kuona kama serikali haiwezi kufanya makosa na kama yakifanyika basi ni dhambi kuyasema. Tatu kutochukua maamuzi magumu kwenye mambo ya msingi na badala yake kuchukulia bunge kama sehemu ya kuitukuzia serikali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...