Babu ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja anaeishi kwenye Kijiji cha Kilangala,Mkoani Lindi akifanya msaada wa kumtoa Mbuzi aliyekuwa amenasa kwenye kinu mara baada ya kutereza mbele ya kinu hicho na kujikuta yupo ndani tayari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. huyo mbuzi atakuwa amepata hofu ya kuchinjwa idd elfitr!huyo mbuzi atakuwa amepata hofu ya kuchinjwa idd elfitr!

    ReplyDelete
  2. ni kweli anamvuta au anamcheki 'samsingi' yake?

    ReplyDelete
  3. Huyu babu mwanga.

    ReplyDelete
  4. mh huyo mbuzi nae ana lake jambo.....mana dah

    ReplyDelete
  5. yaani mbuzi ni watundu mpaka basi, ni lazima alikuwa ameingia kuramba vitu vilivyotwangwa kwenye kinu, kisha akanasa.

    kuna siku kijijini nilipata hofu kweli. nilisikia kitu kikitembea darini. nikapiga yowe nikijua chui... kumbe mbuzi kapanda kufata nafaka zilizohifadhiwa na bibi. issue ilikuwa kumshusha sasa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...