BISMILLAHI RAHMANI RAHIM

KWA NIABA YA TANZANIA WELFARE SOCIETY (TWS) JEDDAH, SAUDI ARABIA , KWA SIMANZI NA MASIKITIKO MAKUBWA TUNAOMBELEZA MSIBA MKUBWA ULIOTOKEA HUKO ZANZIBAR WA KUZAMA KWA MELI MV SPICE ISLANDERS , TUNAOMBA KWA MWENYEZIMUNGU MTUKUFU MUUMBA WETU AWA LAZE WOTE WALIOFARIKI KAMA MASHAHIDI KWENYE PEPO YAKE- AL-FIRDOUS.

POLE KWA TANZANIA NA WATU WAKE MUNGU ATUBARIKI NA ATUPE AMANI.

ABDULHAKIM AKRABI
CHAIRMAN (TWS)
JEDDAH, SAUDI ARABIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. **###@@@@...hapa tunaomboleza bila aibu mnabadinda khanga za matangazo ya kampeni za uchaguzi. Are you guys serious??? I real dont know. acheni kujipendekeza kisiasa kupitia majanga.

    toeni salamu za pole mkiwa mbali na itikadi zenu. by the way ni unafiki uchaguzi ulishaisha long time.
    narudia tena toeni salamu za pole kwa wafiwa na waathirika na si kuleta siasa hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...