

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi MV Mapinduzi ipo wapi? Maana naona sasa tunaleteana ujinga kila siku.
ReplyDeleteAnkal, tafadhali fuatilia mtafaruku huu kwa ukaribu sana na utupe updates kila baada ya muda mfupi. Otherwise ninawaombea kwa Mungu muweze kulitatua tatizo hili na mmalizie safari yenu kwa usalama kabisa.
ReplyDeleteLakini pia, masaa manne ni mengi sana, hao abiria walipaswa wawe wamekwishaondolewa kwenye hiyo meli muda mwingi uliopita. Wahusika wanasubiri nini kuwaokoa abiria, au hadi boti ibinuke?????????!!!!!! Aaaghhhh, kwa kweli!!!!
Here we go again.
ReplyDeleteEe Mungu mwingi wa rehema tunakuangukia utuepushe na majanga mengine katika kipindi hichi kigumu.
ReplyDeleteLeo hii boti imezama ilikuwa inatokea Tanga kwenda Pemba, na sasa ndiyo boti hiyo imekwama kwenye mkondo mkali wa Nungwi.
kunani huko pemba naona wamekasirika sana hakiendi kitu bila kuwa na misukosuko??!!!!
ReplyDeleteHiyo inaweza kuwa janja ya wenye Meli ili wenzao walipata ajali juzi wasionekane walikuwa wamezidisha abiria na mizigo. Hao wanantaka iaminike kwamba eneo hilo ndio chimbuko la matatizo. Hata hivyo kufa kwa injini hakuwezi kuakafanya meli izame kama haikuwa na mzigo ulioizidia.
ReplyDelete