Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe (kulia) akijibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari, baada ya kufungua semina ya siku nne ya utawala bora kwa wanachama wa vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS), Dar es Salaam juzi.Kushoto ni Meneja wa Taasisi ya Mikopo ya Oikocredit Tanzania, Deus Manyenye.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na Meneja wa Taasisi ya Mikopo ya Oikocredit Tanzania, Deus Manyenye alipowasili kwenda ya kufungua semina ya siku nne ya utawala bora kwa wanachama wa vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS), Dar es Salaam juzi. Taasisi hiyo tayari imeshakopesha SACCOS 44 nchini, jumla ya sh. bilioni 34.
yaani wamefikiria jinsi ya kupata hela wakaona waweke seminar ili wapate night zao tena hapo ni za siku sita. kaah!
ReplyDelete