Wadau wa Kampuni ya umojaphone nao hawakuwa nyuma katika mkutano wa DICOTA - Washington DC. Umojaphone uliwawezesha watanzania kupiga simu nyumbani kwa bei poa kabisa.
kwa maelezo zaidi juu ya UmojaPhone,bofya hapo
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umoja phone, naomba kuuliza. Kwa nini gharama kupiga mobile Tanzania ni mara mbili zaidi ukilinganisha na nchi nyingine za afrika mashariki? Tatizo hili lipo pia katika service providers wengine, tunaomba kueleweshwa! Whats wrong with Bongoland Jamani?
ReplyDeleteTunapenda ubunifu kama huu. Hongereni sana kaka zangu. Tutawaunga mkono tu msijali
ReplyDeleteMdau,
UK