Kijana wa miaka 22 anashitakiwa kumbaka bibi kizee wa watu.
 
Hakimu: Bibi, hebu ieleze mahakama kilichotokea.
Bibi Kizee:Nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane. Mlango unavunjiliwa mbali na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.Hakimu:  Endelea, 
Bibi Kizee:  Si, akanivua nguo zote na kunipanda.
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani mimi BWEGE!
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Kila akikata, na mimi najibu!
Hakimu: Sasa tatizo lilokuleta hapa mahakamani ni nini?
Bibi Kizee: Ajenge ule mlango aliouvunja!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Duuh hii ni kiboko yao yani namba one kwenye top10 mwaka huu. Mpeni kombe mtungaji wa habari .Kwikwikwiiiiii!!! Mdau toka buja

    ReplyDelete
  2. asante uncel

    ReplyDelete
  3. Hii Kali nimecheka mpaka mabavu zimeniuma.

    ReplyDelete
  4. Sijaelewa "kukata kulia na kushoto" ina maanisha nini?
    Hahahaha kosa kuvunja mlango... sio kubakwa lol.

    ReplyDelete
  5. Lol hii kali

    ReplyDelete
  6. atengeneze mlango na siku nyingine aje mchana kabla sijafunga mlango...ahisi kama bibi alimalizia hivyo... hahahaaa

    ReplyDelete
  7. Anony 01:14:00, kukata kushoto na kulia ni kukata mauno hayo....upo? hahahaha, very funny

    ReplyDelete
  8. Hi kali bibi kanogewa na serengeti boy mpaka kaona kijana hajafanya kosa kosa lake ni kuvunja mlango. Hongera kijana kwa kazi nzuri.

    ReplyDelete
  9. Hii ni kali kumbe Bibi alihofia kuitwa Bwege akatoa ushirikiano

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...