Kaimu mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM taifa (UVCCM),Benno Malisa akifungua tawi la chama hicho eneo la Majengo juzi wakati wa ziara ya uzinduzi wa matawi ya chama hicho wilayani Arusha,pembeni yake kushoto ni mbunge wa viti maalumu kupitia umoja huo mkoani Arusha,Cathwrine Magige.
Kaimu mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) ngazi ya taifa,Benno Malisa akizungumza na wafuasi wa umoja huo nje ya jengo la makao makuu ya umoja huo mkoani Arusha juzi kabla ya ziara ya uzinduzi wa matawi mbalimbali ya chama hicho mjini hapa,pembeni yake ni mwenyekiti wa UVCCM mkoani Arusha,James Ole Milya
Mbunge wa viti maalumu kupitia UVCCM mkoani Arusha,Catherine Magige akiwapungia mkono wafuasi wa umoja huo nje ya jengo la makao makuu ya chama hicho mkoani Arusha wakati wa ziara ya uzinduzi wa matawi ya chama hicho wilayani Arusha,zaidi ya matawi 20 ya chama hicho yalifunguliwa katika sehemu mbalimbali.picha na Moses Mashalla wa Globu ya Jamii,Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani wabunge wa viti maalumu ni Full Warembo..
    Anayefahamu vigezo vya kuchaguliwa kwao msaada tutani tafadhari

    ReplyDelete
  2. Kumbe yule dada/Mbunge wetu tuliyekuwa tuna "hung" nae mitaa ya Washington DC kumbe kisha rudi mzigoni:-) Namuona hapo yuko ndani ya gamba la kijani:-)

    Endelea kuhamasisha na kazi njema.

    ReplyDelete
  3. hivi viti huwa vinakaajekaaje maana yake,kila mbunge maalum ni mwanamke aliyekaa kishangazishangazi..."if u know what i mean...lol!"...Jeeeez! i need to be the only Mbunge maalum wa kiume ili niweze kusup-eeervise these lovely,shapely,light skinned reiiiidiz!.....usiibanie hii Michu,it's just Humor Maan!

    ReplyDelete
  4. Hivi kuna viti maalum vya aina ngapi ktk CCM?
    Huyu ni wa viti maalum UVCCM je kuna UVChadema? au UVAnychama?
    Nani anawalipa hawa na wanakazi gani kwa taifa?
    Je wana mafao kama wabunge wengine?
    Hivi ni bongo au hata nchi nyingine kuwa na jezi/sare kwenye vyama vya sisa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...