Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa mkutano wake na wanahisa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa.
Baadhi ya Wanahisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini ufafanuzi uliokuwa ukitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (hayupo pichani) jijini Dar es Salaam.
Wapiga picha za Habari wakiwajibika wakati wa mkutano huo.
Hapo chini naona Selemani Mpochi alikuwa akitafuta picha ya mwaka!
ReplyDeleteJameni nyie ndugu zetu wa crdb hivi mnatembeleaga hivyo vioski nyenu vya ATM kuona kama vinatoa huduma itakiwayo????? Huwa nafadhaika sana niendapo kwenye vioski kimoja hadi kingine na kukuta huduma zimesitishwa na kukuta ule ujumbe eti subiri huduma itarejeshwa punde! Pande nyingine hamuishi kutuhimiza tutumie huduma zenu! Acheni maigizo na mtupe huduma tunayotarajia toka kwenu tafadhali!
ReplyDelete