Home
Unlabelled
Down Memory Lane
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana wana blog..picha nzuri sana.Hawa walikuwa hawana mchezo..ndiyo maana mwaka 1985(nikiwa mdogo) dola moja ilikuwa sawa na sh.6 hivi za Tanzania(sina uhakika)..nakumbuka senti hamsini ile yenye kisungura tulikuwa tunajichana na pipi zile za vidonge hadi basi..tumetoka mbali.
ReplyDeleteDavid V
Dah! Wamependeza sana na hizo suti zao. Hapa walikuwa bado hawajaanza kuvaa zile Chou En-lai ambazo zilikuwa zinanikera kupindukia.
ReplyDeleteSawa sawa, kikosi kimetimia!!!...picha hii ni hazina kubwa!
ReplyDeleteKikosi kazi No Ufisadi, No Ubinafsi, No Mgao, No $$ Transactions, No Vitambi,No albino Killings, Shule zote mpaka chuo kikuu, kula,kulala huko Bureeee, Hospitali dawa bure(hakuna kwenda India), Kazi zipo viwanda vinafanya kazi, Kila mtanzania alikuwa mzalendo, kwa sasa tunahitaji rehema za MUNGU nchi haina wenyewe, MUNGU TUSAIDIE!!!
ReplyDeleteYeah hapa ilikuwa kabla Nyerere hajaenda China na kurudi na experiment ya Ujamaa. Ujamaa umeilostisha TZ na legacy ya Mwalimu.
ReplyDeleteLong Live Free Market Capitalism!
wewe hapo mwaka 1986 dola moja haikuwa sh.6 ilikuwa imeishafika sh.500kwa dola1
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza, mwaka 1978 dola moja ilikuwa sawa na Sh. 7 na Pauni ya kiingereza Sh. 20. Mwaka 1985 ilikuwa kwenye Sh. 13. Dola ilianza kuporomoka pale tuliposema hatuangalii nyuma tusijegeuka jiwe (Mzee Mtei anaikumbuka vizuri hii).
ReplyDeleteAnonymous wa nne hiyo bureeee ndiyo iliyotufikisha hapa. Mwaka 1964 Azimio la Arusha ilikuwa bado kwa hivyo wenye viwanda halisi ndiyo waliokuwa wakiviendesha.
Long Live Free Market Capitalism Sio. Kwa nini mnalia "ufisadi" umekithiri? Kila siku tunasikia mnalia kuwa jamaa ni milionea kaiba pesa sijui kafanya hivi na vile. kwa nini msimwache aendelee kuwanyonya?
ReplyDeletepicha tu inaonesha full integrity!
ReplyDeletehahahaha kweli mbona hawana vitambi?????? naona vilikuwa haviruhusiwi na ilikuwa sheria labda. Mamamamama sasa Nyerere ingeewezakana ukaja Ofisi wote Vitambi baba , hata wanawake,wapejikoboa hao ka wazungu
ReplyDeleteMdau David V kweli mwaka 1985 ulikuwa mdogo sana. Nadhani bado ulikuwa chekechea (enzi hizo zillitwa shule za vidudu). Mwaka huo dola moja ilikuwa ni tayari zaidi ya shilingi 200. Au unamaanisha mwaka 1965?
ReplyDeleteMimi naomba kuuliza nini kimetokea kwa nchi yetu???? Mbona imepoteza kabisa mwelekeo?
ReplyDeleteMwezi uliopita nilikuwa Dar. ni bora kukaa kijijini kuliko Dar, hakuna maji,umeme, barabara ndo kwanza haziendi, kila bei kuubwa sana.
Sioni haibu kusema kwamba, roho yangu ililia kabisa kuona tumeshindwa kujikwamua
Lakini wachina waliomfundisha Mwalimu Ujamaa mbona wanasonga mbele kiasi kwamba wamarekani hivi sasa wanahofia maendeleo ya mchina na jinsi anavyochukua dunia kwa kasi ya ajabu ( new super power in the making). Sasa swali linakuja kwamba tatizo ni ujamaa au watanzania wenyewe? Sasa hivi wachina wameamua kuja kabisa mpaka manzese na wanazidi kuendelea hapo hapo nyumbani kwenu na sisi wana-wa-majungu uvivu mbele tunapiga kelele ujamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????????????????????????????????? Maswali mengi. Kumbuka enzi za Mwalimu mafisadi kulikuwa hakuna...Kesi za uhujumu uchumi kila kona. What went wrong???
ReplyDeleteBABU YENU
MZEE WA BUSARA
mKIambiwa Mwalimu alikuwa mdini mnakataa. Baraza zima Muislamu Mmoja. Kweli waislamu wengi walikuwa hawajasoma lakini wale wa wachache wakuokota okota walikuwapo. ukweli ni kwamba Mzee huyu alikuwa anavaa kibalagashia ili kuwalaghai waislamu kama ndugu yao huku anawalima kimya kimya kimya kwa staili ya panya..puliza ng`ata.
ReplyDeleteukikaa unakunja 4!!
ReplyDeleteHii picha chiboko! Wengine wataiona kama sumu. Shauri yao.
ReplyDeleteBinafsi yangu mavazi sio kitu, lakini kazi nzuri saana waliifanya. Hawa ndiyo waliotufundisha waTZ kuwa na utu, ndiyo waliolisogeza Taifa mbele hata kuwa na kitu cha kumuonyesha mkoloni baada ya miaka kumi ya uhuru. Poleni Waheshimiwa kwa kazi.
Wale walioko bado hai ninapenda kuwapongeza sana. Na wale waliotutangulia Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa Amani.
Tanzania takwimu za jando kwa wanaume zinaweza kutupatia ukweli kuhusu wale wanaoamini ktk dini za asili, kizungu (kikristo) na kiarabu (Kiislamu).
ReplyDeleteKwa Tanzania idadi kubwa ya wakristo wanaume wametiwa jando, kwa waislamu asilimia 100 wametiwa jando na kwa wale waaminio dini zingine mbali na ukristo/uislamu asilimia kubwa hawajatiwa jando.
Takwimu zinaonyesha kuwa ni asilimia 40% tu ya wanaume wa tanzania wametiwa jado, hivyo basi Uilslamu hauwezi kuwa dini kubwa kufikia asilimia 30 % ya Watanzania.
Mtafiti wa jando.
Ngariba
Mdau umekosa la kuandika. Kukaa na kuandika nne sio dhambi.Wala negative body language, hasa kwa wakati huo na ukizingatia kuwa hawa watu ni kina nani. Inaonekana una kachuki ka kijinga tu. Kama alivyosema mdau hapo juu kabla yako kuwa wengine wataiona hii picha kama sumu kwao. Inawezakana wewe ni mtoto wa fisadi au ni fisadi mwenyewe. Pole sana.
ReplyDeleteMsitudaganye 1985 dola haikuwa Tshs 500. Nakumbuka dhahiri miaka ya 1994-1995 ndo dola ilikuwa inabadilishwa kwa Tsh 500.Kama dola ingekuwa inabadilishwa kwa shs 500 mwaka 1985 basi sasa hivi tungekuwa tunabadilisha kwa shs 3000-4000. Nasema hivi sababu nilibadilisha dola kibao enzi hizo.Dingi alikuwa ananituma nikabadilishe pesa wakati niko form 1.Sababu Mwanafunzi ni less suspected kukabwa mitaani.
ReplyDelete