Wakazi wa Mikocheni jijini Dar wakiwa kwenye foleni ndefu ya kununua umeme wa Luku katika kituo kilichopo maeneo ya kwa Mzee Mwinyi.hii ni kutokana na kukosekana kwa mtandao wa huduma hiyo katika maeneo mengi ya jiji la Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Vipi nasoma south africa vile vile Luku kasheshe mtandao mmoja nini?

    ReplyDelete
  2. ile fibreoptical imekatika waya ndio maana lakini watu wanunue kwa m-pesa,tigopesa,wala haina tabu

    ReplyDelete
  3. Huko bongo mbona maajabu hayaishi kila siku?? Bora mrudie ule mtindo wenu wazamani tu mita za analog pengine.............

    ReplyDelete
  4. wananunua luku umeme wenyewe upo?

    ReplyDelete
  5. hii tanzania miaka 50 ya uhuru folen ya umeme nao hakuna maji hakuna na mvua zote zinazonyesha hongo inanuka kila kona nchi mpaka misiba taifa linakwenda linakwenda pabaya mungu saidia watu wako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...