Habari yako Ankali Michuzi
Embu tuangalie hii taswira kidogo halafu tujiulize
Je, ubebaji huu wa wanyama ni sahihi kweli? hata kama ni kitoweo atachinjwa lakini je hata si mateso na kutokuheshimu haki za wanyama kwa ubebaji huu??
By Mdau
{ ankal usibanie hii hata kama taswira hii ilitoka kwenye blog yako]
this is not right kabisaaaaa!!...moyo umeniuma sana kwa kuona hii
ReplyDeleteKwakweli hii si sawa kabisa, yaani mbuzi maskini kashikwa sikio huku mwingine mguu mmoja, kweli? hata mtoa zawadi ya idd angeona asingefuraia. Ivi haki za wanyama tz ni zipo kweli?Kama azipo je iweje?
ReplyDeleteThis is violation of animal rights kwa kweli hata mimi imenitouch. Daah hata kama anaelekea kwenye kisu lakini sio hivi jamani
ReplyDeleteIshi maisha yako ya nje, popote ulipo na vyovyote ulivyo, kama ambavyo ungeishi endapo ungekuwa katika nyumba ya ibada. Heshimu viumbe vya Mungu na uvipende kama Yeye alivyovipenda na hata kuviumba.Mungu ametuteua sisi binadamu kuwa juu ya viumbe vingine, lakini hakusema tuvidharau, tuvitese, ama tuvidhalilishe. Ni vyake.
ReplyDeleteKwa mfano, ukiona nyoka anavuka barabara porini nawe unaendesha gari usimkanyage kwani huko ni kwake na wewe ni mpitaji tu. Ya nini kumpiga mbwa au paka mawe umuonapo mtaani wakati unajua ni mnyama wa kufugwa (domestic animal)?
Siku hizi wazungu (wake kwa waume) wanafanya mapenzi na wanyama (mbwa, ng'ombe, farasi, n.k.), nabaki najiuliza tunakoelekea na namna gani wanyama wanavyodhalilishwa (japo hawajui).
Baada ya kushurutishwa tuukubali ushoga kitakachofuatia ni kulazimishwa kuoa ama kuolewa na wanyama. Si ajabu ndege bado wanafanyiwa utafiti.
Siamini binadamu, hasa nisiyemjua. Si ni sisi hawa hawa tunaobaka kinamama wajawazito na hata kuwasababishia vifo vyao na vya vichanga vyao tumboni?! Tunawaua wenzetu wenye ulemavu wa ngozi, tunaroga wenzetu ili tupandishwe vyeo au wafukuzwe kazi, na chungu tele! Huyu binadamu leo hii atamtunza mnyama kwa maana njema?! Tuishi maisha yetu kana kwamba tupo ndani ya nyumba za ibada.
nyie mnachekesha sana eti haki za wanyama. Naomba muangalie kwanza haki za binadamu. Mmeshaona vibaka wanavyokamatwa na kuvishwa matairi ya gari shingoni halafu moto unawashwa? Watoto wadogo wanavyofanyikishwa kazi?
ReplyDeletehata mtume Muhahammad pbuh kasema kuwa tunapotaka kuchinja mnyama basi tumuheshimu na tuwe wapole kwa mnyama ataechinjwa.
ReplyDeletelakini hii imezoeleka Tanzania kwani hakuna haki za binaadamu kutakuwa na haki za wanyama?
tizama wamachinga wanavyopigwa na kudundwa na ma mgambo au askari njiwa na hiyo ndo serikali sasa yuko wapi mtetezi wa haki za binaadamu na wanyama??????????
Kaeni mnasherehekea uhuru sijui huo uhuru uko wapi na nakujua wewe mchuzi hutatoa hii comment lakini jua siku yako itafika tu kama utakuwa unabania bania ukweli.
it is not fair at all
ReplyDeleteHuyo binadamu tu hathaminiwi na anazalilishwa ndio huyo mnyama?!!!!
ReplyDeletehalafu huyu aliyebeba huku kavalia kinadhifu ni kiongozi kabisa katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Rukwa ( labda kama kahama hivi karibuni) sasa kiongozi mkubwa kama yeye anatufundusha nini kuhusu haki za wanyama>?!
ReplyDeleteje kuchinjwa mnyama, ni haki yake? nisije acha kumchinja kumbe namnyima haki yake.
ReplyDeleteCRAP!!! Nendeni porini mkutane na SIMBA/CHUI/MBOGO etc...afu muone kama na nyie mtafanyiwa HAKI...damn!
ReplyDeleteKAMA SIKUKUU YA KUCHINJA NDIO HIVI MMMMMHH!!
ReplyDeletemambo ya eid hayo hebu tuacheni
ReplyDelete