Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni mpya ya Tanzania Mwandi,Grace Ruhinda akizungumza kwenye hafla fupi ya Uzinduzi wa Kampuni yake hiyo ambayo itakuwa ikijihusisha zaidi na maswala ya matangazo ya ndani na nje hususani kwa bidhaa za kitanzania kwa kupitia mtandao wao unaoitwa Tanzania Kwanza,ikiwa ni sehemu ya kuitangaza Nchi ya Tanzania zaidi katika masoko ya nje.hafla hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya Southern Sun,jijini Dar es Salaam.
 Mdau Saleh Ally ambaye pia ni mfanyakazi wa Kampuni hiyo,akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo,iliyofanyika kwenye hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam,hivi karibuni.
 Grace Luhinda akiendelea kuzungumza mbele ya wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa pili wa Miss Tanzania,Tracy Sospeter ambaye pia ni mmoja wa maofisa katika Kampuni hiyo mpya akiongea mbele ya wageni waalikwa pamoja na wanahabari waliofika kwenye hafla hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi wa Wageni waalikwa katika hafla hiyo wakifuatilia kwa makini muhtasari wa Kampuni hiyo ya Tanzania Mwandi uliokuwa ukisomwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,Grace Luhinda (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wake uliofanyika kwenye hoteli ya Southern Sun,jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ankal msaada tutani hii kampuni inaitwa jina gani na ofisi zake ziko wapi maeneo ya dar?

    ReplyDelete
  2. waoo nice one grace, wish u luck dada

    ReplyDelete
  3. All the best Grace kwa ulioanzisha mungu akuongoze zaidi na zaidi...be ready to accept the challenges.....

    ReplyDelete
  4. Baba Nehemia a.k.a Kipa mwenye green shirt uko juu wakilisha wadau PEPSI COLA

    ReplyDelete
  5. Woow!!!!!! Grece we are proud of you, keep it up, Dada,

    ReplyDelete
  6. Inaitwa TANZANIA MMWANDI OFISI ZIPO pOSTA ILA HAWAJAANZA KUTANGAZA NAFASI ZA KAZI KAMA UNATAKA...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...