Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mimi napongeza kuendelea kuwatenga mshoga kwa sababu hakuna mtu anayezaliwa shoga. Ni utukutu wa mwanadamu kutaka kujaribi hata visivyojaribu ndio umemfikisha kuona ushoga ni sehemu ya maisha. Mkifanya utafiti wa kina mtagundua kwamba ushoga una madhara kiafya na kisaikolojia. sasa kama mnang'ang'ania kuwa ni ushoga ni haki ya binadamu, ni kwa nini msiangalie hiyo haki kwa upande wa madhara ya ushoga. Hao mashoga inabidi wachekiwe na madaktari kila mara. Sasa kama ni kitu halali kwa nini waende kuchekiwa afya? Hongera Membe, Hongera Tanzania kuukataa ushoga.

    ReplyDelete
  2. Tatizo la Tanzania ni ubinafsi wa kujali maisha binafsi kuliko utaifa.

    Kama mafisadi wanasaini mikataba mibovu isiyo na manufaa kitaifa.. watashindwa kukubali ushoga ili wapate mabilioni ya pesa za misaada kwa manufaa yao binafsi??

    Safari bado ni ndefu..

    ReplyDelete
  3. VIZURI SANA SERIKALI YA TANZANIA...!!!.
    MWINGEREZA wa sasa pamoja na huyo Donald Cameron, aache Sera na Diplomasia za KIUBASHA, waangalie wenzao kwao waliowatangulia kama Sir. Winston Churchil na wengine walioacha historia njema!

    ReplyDelete
  4. MWINGEREZA alitukosa kwa MLANGO WA BARAZANI baada ya kudai na kupata Uhuru mwaka 1961 ,na sasa ana jaribu bahati yake kutuingia kwa MLANGO WA NYUMA!...kula leki, ametukosa!

    ReplyDelete
  5. WASITU RAHISI KIHIVYO,,,, BILATERAL AGREEMENTS ZA MATAIFA MAWILI SIO KWAMBA SISI NDIO WAHITAJI TU , HATA WAO WANACHO KITU WANACHOHITAJI KWETU, TUKATAE YAO YASIYO TUFAA na sisi tuwape masharti kwa kuwapangia kutekeleza ktk maisha yao utamaduni na mila ya KIMASAI na KICHAGGA!

    ReplyDelete
  6. MJERUMANI NA EURO anakuna kichwa kutafuta suluhisho la ''GLOBAL FINANCIAL CRISIS'' ,,,, ila MWINGEREZA yupo bize ktk zipu ya suruali yake!

    ReplyDelete
  7. MJERUMANI NA EURO anakuna kichwa kutafuta suluhisho la ''GLOBAL FINANCIAL CRISIS'' ,,,, ila MWINGEREZA yupo bize ktk zipu ya suruali yake!

    hahahahaha nakupa 5 wanguuu.

    ReplyDelete
  8. Hivi inakuwaje mtu asiyeweza kuzungumza kiswahili kama huyu membe anakuwa waziri katika Tanzania?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...