Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbungewa Songea Mjini ambaye pia ni
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Emmanuel Nchimbi
wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma baada ya Bunge kupitisha muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Katiba na Sheria, Mh. Celina
Kombani(kushoto) na Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar, Mh. Abubakar Khamis
Bakari (katikati) wakifurahia baada ya Bunge kupitisha Muswada wa
Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa 2011 kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
JE CHADEMA WALISHIRIKI AU WALIGOMA KURUDI BUNGENI? WATANZANIA TUSIKILIZANE NAFIKIRI KUNAHITAJIKA ELIMU NA IKIBIDI WATU WATOKE NJE YA NCHI HUSUSAN KUTEMBELEA NCHI ZILIZOKUWA NA MFUMO WA SIASA YA VYAMA VINGI KWA MIAKA ZAIDI YA 100 ILIYOPITA. INAOENEKANA KWAMBA TANZANIA WAPINZANI HAWAJAELEWA NINI MAANA YA UPINZANI! WANAHITAJI KUELIMISHWA KWANI KWA MTINDO HUU UNAONDELEA SIDHANI KAMA KUNA JAMBO LITAKAMILIKA KWA VYAMA VYOTE KUKUBALIANA. WAPINZANI WAMESAHAU KWAMBA KUNA KATIKA INAYOILINDA BUNGE NA WAPINZANI WAO NI MINORITY BUNGENI CCM INA WABUNGE WA KUTOSHA KUBADILISHA SHERIA. UPINZANI MIMI NINAVYOELEWA NI COMPROMISE SIO KUTOKA NJE. WE DON'T GET KWANINI WANATOKA NJE BADALA YA KUBAKIA BUNGENI NA KUFANYA COMPROMISE KWA MISWADA WANAYOIONA KWAMBA SIO SAHIHI AU HAIKUFUATA TARATIBU ZINAZOTAKIWA. HALI HII INAUDHI NA INAKUWA KAMA VILE HAKUNA MAANA YA KUWA NA WAPINZANI KWANI CHAMA TAWALA KITAENDELEA MBELE KWANI WAPO MAJORITY BUNGENI. UPINZANI HAUNA MAANA YA KWAMBA KUTOKUBALIANA KILA KITU! HICHO NDO KINACHOONEKANA KWA CHADEMA KWAMBA THEIR SMARTER THAN ANYBODY IN THE PARLIAMENTY! TUNAKUBALI NDIO KUNA WASOMI LAKINI INABIDI KUWA MSOMI ALIYEELIMIKA KWANI UNAWEZA UKAWA UMESOMA LAKINI HAUJAELIMIKA. INATAKIWA KUTUMIA COMMON SENSE. KWANI HII NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA ITAVUGA AMANI NCHINI! HATUTAKI AMANI IVURUGIKE KWA KUPITIA VIKUNDI VICHACHE VYA WATU AU CHAMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteMImi niko nje ya nchi ninaona siasa zinavyondeshwa CHADEMA hawajakosea lolote. CCM wamepitisha huu Mswaada ilikukidhi mahitaji yao binafsi ya kuendelea kuiba kura, kuiba ardhi, kujitajirisha wakati wengine wakikosa matumizi ya bianfsi, kuendelea kufanya ufisadi. Lakini haya yana mwisho
ReplyDeleteyaani hii komenti ni sahihi sana kutoka nje sio issue inamaana nyiechadema tumewachagua kkwenda kugoma na kuchukua posho na kufanya mandamano ya fujo uku biashara zenu zinaendelea mnawadanganya walalahoi kua mnadai haki hakuna nyie ndio wabinafsi sana watanzania kueni macho na hawa watu wa kanda ya kaskazini hata mwalimu alishayaona jamani tanzania ni nchi ya amani na usalama tunaiharibu kwa matamanio ya watu wa chache tutakuja kuijuitia amani yetu kama wa libya.
ReplyDeleteWewe hapo mtoa maoni ya kwanza, wajifanya kujua kumbe haujui kitu kabisa. Sasa umeshasema kuwa CCM wao ni wengi na hivyo wana uwezo wa kubali SHERIA pale wanapotaka. Je, CHADEMA walikuwa na sababu ipi ya kujadili mswada wa sheria ambao wanaona kuwa haujafuata taratibu? Maana hata kama wangebaki na kujadili, mswada upitishwa kipingele kwa kipengele. Ikitokea baadhi wakapinga kipengele fulani, basi KURA ya NDIYO au HAPANA upigwa. Sasa unafikiri uwepo wao CHADEMA ungesaidia nini? Maana kama mawazo yao wameshayatoa kwenye midahalo, na kwenye kamati ya bunge ya katiba. Sasa kama serikali iliamua kuyaacha kwa makusudi, wewe ulitaka wafanyeje?
ReplyDeleteChadema tumewachagua sisi halafu wanatoka nje hawatuwakilishi BUNGENI Wanatoka nje kwa Masilahi yao wenyewe, wasisikiliza kinachoongelewa wakaunga au kukataaaaaa wao wanatoka nje tufanyeje jamani wananchi sie tuliochagua wabeba maji vichwani tu hawatusaidiiiiiiii kwa lolote wanatete maslahi yao tuuuuuuuuuu uwiiiiiiiiiii presha ilipanda sana sikukitambua kwa muda wa siku kadhaa sasa nimegutuka naauliza je walirudi au hawakurudi Bungeni tena eti hawakurudi JE KAZI YAO NI NINI VICHWANI WA AKILI OR TOPEEEEEEEE LILICHANGANYIKANA NA ,,,,,,,,,,,,, WATANZANIA WENYE AKILI MSIRUDIE KUCHAGUA TENAAAAAAAA CHADEMAAAAA SIO CHAMA HICHO tulikiamini kikapata angalau kura lakini maji matupu vichwaniiiiiiiiiiiii au nini Uwiiiiiiiiiiiiii twafa sie tuliochagua CHADEMA kuanzia leo hiiiiiiiiiiiii naondoka na sito rudi tena chadema MAISHANI hata jimboni nitaHAKIKISHA MBUNGE WA CHAMA CHOCHOTE ASHIKE NAFASI NA SIO CHADEMAAAAAAAAAAAA TENAAAAAAAAAAA INATOSHAAAAAAAA HAWATUWAKILISHI VYEMA WANATOKA NJE
ReplyDeleteMAANA YAKE NINI???????????//
MUNGU IBARIKI TANZANIA NDIO DUA YANGU , MUNGU IBARIKI AFRICA NZIMA.
ReplyDeleteYaani nasikitika sana tena sana leo pangechimba basi angekuweko wa kunisikiliza mie MAANA MACHUKIZO ya chama cha CHADEMA kutuwakilisha naaumia sana JAMAA tumewachagua sisi halafu kukbw jeuri tu imewatawala. HAWATUFAI, Nini maana ya kutoka nje YA BUNGE???????? Hadi leo sina jibu. SIFA, KIBURI Cha kuchuliwa na sie??????? au nini jamani ????? SLAA TUlitegemea utawapa somo kuhusu heshima na unyenyekevu vijana wako kumbe wewe unayiotaka ni MADARAKA TUUUUU busara zako zi wapi, maneno yako mazuri ya wapi, kwanini mlitoka Nje hamjasikiliza kilichozungumzwaaaa? naona kwa sababu mnapata mshahara hamna shida kama sie tunaotaambia huku. KUANZIA LEO nimegungua njama yenu viongozi wa chadema KUMBE NI KUTUTAABISHA SIE TUUUUUU NA kutaka umaarufu tu kwa mambo ya kijinga kitu cha kuongea mkaelewana mwataka tuaandamane Ndugu zetu wanakufa MBONA NYIE HAMFIIIIII nikiona ETI mnatutetea kumbe mna Yenu mambo mnayoyahjitaji uMAARUFU TU.
KAMA HAYA MNAONA YANAFAA SIKU YA MWISHO TUTAYONA TUKIWA MBELE YA HAKI KUWA MLIYOYAFANYA YALIKUWA SAHIHI?
Muandishi Mh Abubakar Khamis Bakari ni Waziri wa Katiba na sheria Zanzibar si mwanasheria mkuu kama ulivyoandika
ReplyDeletePicha ya Pinda na Dr Nchimbi imemkosa Profesa Majimarefu tu.
ReplyDeleteWaerevu watang'amua...
CHADEMA ni chama makini kimesimamia mambo mengi ya msingi ambayo CCM imeyaficha ikijua sababu yake. Kutoka nje ni kuonesha kunawa mikono kwa kile ambacho walijua tayari kitapitishwa nao.
ReplyDelete