Home
Unlabelled
MDAU ALFEO SILUNGWE AKIITANGAZA TANZANIA KATIKA MOJA YA PRESENTATION ZAKE INDIA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera mdau kwa kuitangaza Tanzania ...lakini hapo ni lugha gongana. Sio Information's ungeandika tu Information duu
ReplyDeleteLugha gongana humo ankal
ReplyDeleteHapo ni lugha GONGANA UNCLE MICHU
ReplyDeleteINFORMATION HUWA NI INFORMATION TU, HAINA CHA NYONGEZA!!!!
Kaka hiyo lugha yako mbona unatutia aibu?? Dah!! "...Background Information's about Tanzania" Halafu hapo unafanya Masters!! Sijui tulaumu elimu ya India ama ya Tanzania, taabu kweli kweli.
ReplyDeleteDu..Lugha imekataa kweli kweli...!! Mtumeee..Ila idea ni nzuri. Japo ulihitaji mtu akusaidie kufanya editing..pole...tunakuheshimu though...!!
ReplyDeleteSwahili + Hindu/ Gujarati + English
ReplyDelete= information's
Hujachacha rafiki yangu. HONGERA SANA.
Jamaa umejianika kinoma jamaa, yaani ungejua usingethubutu, duh! Information's? semi colon? picha yako? Masters? Inakuwaje masuti mwana, piga jaramba kwanza mtu wangu!
ReplyDeleteINFORMATION'S!!!!!!!!!!.. siku nyingine mpe mtu afanye proof reading..
ReplyDeleteHao wanaopewa hizo info wako wapi, mbona hamtuonyeshi audience?
ReplyDeleteMdau wa hapo juu ile siyo semi colon inaitwa apostrophe. Au na mimi nimekosea?
ReplyDeletetataizo letu wabomgo hatupendani mjue, 2naona makosa tu, but the idea hatuoni kabisa...afterall hiyo si lugha yetu ya taifa vingapi tunakosea bwana..... acheni hizo hongera alfeo big up sana, tz is proud of u!
ReplyDelete