Mdau Alfeo Silungwe Mtanzania anaye piga Nondo ya Masters of Statistic ndani ya Nchi ya India akiwa anafanya presentation katika moja ya kozi anayo isomea chuoni hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hongera mdau kwa kuitangaza Tanzania ...lakini hapo ni lugha gongana. Sio Information's ungeandika tu Information duu

    ReplyDelete
  2. Lugha gongana humo ankal

    ReplyDelete
  3. Hapo ni lugha GONGANA UNCLE MICHU
    INFORMATION HUWA NI INFORMATION TU, HAINA CHA NYONGEZA!!!!

    ReplyDelete
  4. Kaka hiyo lugha yako mbona unatutia aibu?? Dah!! "...Background Information's about Tanzania" Halafu hapo unafanya Masters!! Sijui tulaumu elimu ya India ama ya Tanzania, taabu kweli kweli.

    ReplyDelete
  5. Du..Lugha imekataa kweli kweli...!! Mtumeee..Ila idea ni nzuri. Japo ulihitaji mtu akusaidie kufanya editing..pole...tunakuheshimu though...!!

    ReplyDelete
  6. Swahili + Hindu/ Gujarati + English

    = information's

    Hujachacha rafiki yangu. HONGERA SANA.

    ReplyDelete
  7. Jamaa umejianika kinoma jamaa, yaani ungejua usingethubutu, duh! Information's? semi colon? picha yako? Masters? Inakuwaje masuti mwana, piga jaramba kwanza mtu wangu!

    ReplyDelete
  8. INFORMATION'S!!!!!!!!!!.. siku nyingine mpe mtu afanye proof reading..

    ReplyDelete
  9. Hao wanaopewa hizo info wako wapi, mbona hamtuonyeshi audience?

    ReplyDelete
  10. Mdau wa hapo juu ile siyo semi colon inaitwa apostrophe. Au na mimi nimekosea?

    ReplyDelete
  11. tataizo letu wabomgo hatupendani mjue, 2naona makosa tu, but the idea hatuoni kabisa...afterall hiyo si lugha yetu ya taifa vingapi tunakosea bwana..... acheni hizo hongera alfeo big up sana, tz is proud of u!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...