For Upcoming Projects please visit our website www.nhctz.com,  
Email: sales@nhctz.com, follow us on Facebook:www.facebook.com/nhctz  or call us +255 754 444 333.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mwenyekiti hii miradi si yakusaidia masikini, ni ya watu wenye fedha tu, masiki kama sisi 67million taitoa wapi kununa apartment? na hata kwa mortgage talipa mpaka nakufa.
    pili hii ni kusaidia jamii au biashara ya NHC? hapo ubungo hizo units 80 baada ya kuwauzia matajiri wamepata 5.4Billion na siku ya kuzindua huu mradi walisema wamejenga kwa 4.0Billion, kwa kuwa kiwanja kilikuwa ni cha kwao toka enzi za mwalimu,wametengeneza faida ya 1.4B,good business!!!

    ReplyDelete
  2. ya sasa wewe lalama tu unafikiri utapewa nyumba bure. fanya kazi pata hela fanya mambo. big up NHC

    ReplyDelete
  3. Mimi nimfanyakazi wa serikali, nakiri kwamba mshahara wangu mdogo sana ukilinganisha na wafanyakazi wengine.
    gharama ya hizo nyumba pamoja na kodi nikisema nikope naweza kulipa maisha yangu yote hadi nistaafu bila kumaliza deni.
    kutushinfanisha sisi watu wa tabaka la kati na chini na hawa matajiri ni kama ni kutuonea, kunahitajika mkakati maalum wa kusaidia watu wa tabaka la Kati na chini .

    ReplyDelete
  4. Namshangaa mwanadamu kweli, yaani watu wana mapesa ya kununua hizo expensive apartments ambazo zimetangazwa juzi tu mara zimeshanunuliwa zote, lakini hawana pesa ya kujitolea na kusaidia wanadamu wenzao wasiojiweza. Hapa wangeambiwa wachangie pengine kujenga kituo cha watoto yatima, turnout isingekuwa kama hii ya kununua hizo apartments. Tunaambiwa kwenye vitabu vya dini kwamba 'spend more on others and less on yourselves, lakini sisi tulio kwenye nchi iliyojaa mafisadi tunajifikiria kwanza sisi wenyewe, ubinafsi umekidhiri. Tumuogope Mungu wetu na kuwafikiria wenzetu ambao hawajiwezi na tutabarikiwa.

    ReplyDelete
  5. Sasa KIVUMBI kinakuja kwenye kulipa madeni..
    Hapo ndo utamtambua Mtanzania Halisia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...