Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Zimbabwe Jenerali Constantine Chiwenga alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam, leo.Jenerali Chiwenga, ambaye yuko nchini kwa ziara ya siku 5, aliongozana na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali,Davies Mwamunyange.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete (katikati) akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Zimbabwe, Jenerali Constantine Chiwenga (kulia) pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto).wakati Mkuu huyo wa Majeshi wa Zimbabwe alipomtembelea Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi na Zimbabwe nguo za sale ya kijeshi inafanana ya Tz,

    ReplyDelete
  2. Hazifanani, huoni za kwetu zimepauka?

    ReplyDelete
  3. Hapana hazifanani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...