Home
Unlabelled
FALLY IPUPA KUPIGA SHOO ARUSHA IJUMAA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwenda kwa fally ipupa bongo paundi 6. akija uk paundi 10. twanga wametia mguu uk paundi 20. duh! wabongo wa uk tumedata akili matakoni mweeeee!!!
ReplyDeleteMZEE WA MABUNDUKI FALLY IPUPA, unaenda Arusha kwa Wamaasai, asalalee!!!, hawa hawana mchezo ukimnawa makalio mwanamke wa mtu utasikia sime usogoni au mgongoni..ebo!
ReplyDeletetunakusubiri turushe roho maisha yenyewe yamekuwa mafupi watu kila siku wanakufa mwaka huu tumepoteza watu tunaowajua wengi sanaaaaaa, njoo baba mshahara haujaisha kwa raha zangu,arusha tupo kama kawaida hatukosi,maisha hayatabiriki hataaaa
ReplyDeleteheeeee mdau ulijuaje aje kabisaaaaaa tupo tumejaa tele arusha baba karibu baba,maisha yanatisha khaaaaaa
ReplyDeletemwenzangu yamekuwa mafupi sio kidogo, tujirushe sieeeee
ReplyDeleteTwanga yenyewe ilikuja pungufu bila rapa hata mmoja.sema tu mlikuwa na hamu ya mabolingo lakini kwa wabongo tulioko TZ tungeona utumbo mtupu
ReplyDeleteWajameni Wadau Wabongo huko ma UK sasa hayo ma POUND yenu mliyo dunduliza kwa kubeba maboski atakula nani?
ReplyDeleteSi bora mumchangie dada yenu Asha Baraka na Kaka Mkubwa Amigolasi?