Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kwenda kwa fally ipupa bongo paundi 6. akija uk paundi 10. twanga wametia mguu uk paundi 20. duh! wabongo wa uk tumedata akili matakoni mweeeee!!!

    ReplyDelete
  2. MZEE WA MABUNDUKI FALLY IPUPA, unaenda Arusha kwa Wamaasai, asalalee!!!, hawa hawana mchezo ukimnawa makalio mwanamke wa mtu utasikia sime usogoni au mgongoni..ebo!

    ReplyDelete
  3. tunakusubiri turushe roho maisha yenyewe yamekuwa mafupi watu kila siku wanakufa mwaka huu tumepoteza watu tunaowajua wengi sanaaaaaa, njoo baba mshahara haujaisha kwa raha zangu,arusha tupo kama kawaida hatukosi,maisha hayatabiriki hataaaa

    ReplyDelete
  4. heeeee mdau ulijuaje aje kabisaaaaaa tupo tumejaa tele arusha baba karibu baba,maisha yanatisha khaaaaaa

    ReplyDelete
  5. mwenzangu yamekuwa mafupi sio kidogo, tujirushe sieeeee

    ReplyDelete
  6. Twanga yenyewe ilikuja pungufu bila rapa hata mmoja.sema tu mlikuwa na hamu ya mabolingo lakini kwa wabongo tulioko TZ tungeona utumbo mtupu

    ReplyDelete
  7. Wajameni Wadau Wabongo huko ma UK sasa hayo ma POUND yenu mliyo dunduliza kwa kubeba maboski atakula nani?

    Si bora mumchangie dada yenu Asha Baraka na Kaka Mkubwa Amigolasi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...