Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, (mwenye kanzu) akiwakabidhi vifaa vya ujenzi mabati 30 na mbao 50 , akina mama wawili wa Mtaa wa Kihonda Kazkazini karibu na Mizani,katika Manispaa ya Morogoro, ambao uwezo wao ni mdogo wa kukarabati Nyumba zao baada ya kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyonyesha Alasiri ya Desemba 27, mwaka huu mjini Morogoro
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, (wa pili kushoto) akiwakabidhi vifaa vya ujenzi mabati 30 na mbao 50 , akina mama wawili wa Mtaa wa Kihonda Kazkazini karibu na Mizani,katika Manispaa ya Morogoro, ambao uwezo wao ni mdogo baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyonyesha Alasiri jDesemba 27, mwaka huu
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, (mwenye kanzu ) akiangalia utelemshwani wa vifaa vya Ujenzi yakiwemo mabati 30 na mbao 50 , ikiwa ni msaada wake kwa akina mama wawili wa Mtaa wa Kihonda Kazkazini karibu na Mizani,katika Manispaa ya Morogoro, ambao uwezo wao ni mdogo wa kukarabati nyumba zao zilizoezuliwa upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyonyesha Alasiri ya Desemba 27, mwaka huu mjini Morogoro. Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii
kaka umekosea katika description kuonyesha yuko wapi huyo mbunge katika picha mbili za mwanzo.Jitahidi kupitia basi kabla ya kupost.
ReplyDeleteBwana Mithupu, mbona unatuchanganya na maelezo yako kuhusu huyo mbunge,Picha ya kwanza unasema "wa pili kushoto", picha ya pili unasema "wa kwanza kushoto" ya tatu unasema "mwenye kanzu" sasa kama mwenye kanzu ndio huyo huyo kwenye picha ya kwanza na ya pili mbona hajasimama kwenye hizo nafasi!!!!! dah!!!!
ReplyDelete