Wanamuziki wa bendi hiyo wakiimba wimbo mpya wa kuwashukuru Watanzania waishio Uingereza kwa mapokezi mazuri waliyofanyiwa.
Wanamuziki wa Bendi ya The African Stars (Twanga Pepeta), wakiwasili janakwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, wakitokea Uingereza,ambako walifanya shoo ya ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa Watanzania waishio Uingereza.
Mkurugenzi wa bendi hiyo, Asha Baraka (kushoto), akiwa na furaha alipokuwa akiilaki bendi.
Kila mmoja na mzigo wake
Wanamuziki wa Bendi ya The African Stars (Twanga Pepeta), wakiwasili janakwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, wakitokea Uingereza,ambako walifanya shoo ya ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa Watanzania waishio Uingereza.
Baadhi wakifurahi kuingia jijini Dar wakitokea London
Kiongozi Mkuu wa bendi hiyo, Luizer Mbutu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonesho kadhaa waliyofanya Uingereza
African Stars “Twanga Pepeta International imewasili jana kutoka, London, Uingereza na kuweka mikakati yake ya kuimarisha soko la kimataifa na la hapa nyumbani.
Kauli hiyo ilitolewa na kiongozi wa bendi hiyo, Luizer Mbutu alipokuwa anazungumzia mafanikio na changamoto za maonyesho yao yaliyofanyika nchini Uingereza.
Luizer alisema kuwa wamepata mafanikio makubwa katika maonyesho hayo ya wiki mbili huku moja likiwa la kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.
Alisema kuwa tofauti na ziara yao ya kwanza ya mwaka 2005, safari hii walikwenda kufanya shoo huku wakizinadi CD na DVD za albamu zao za nyuma zikiwa katika maonyesho ya ‘live’ nay a kawaida ambazo walifanikiwa kuziuza zote.
“Kwa kweli tumefarijika sana na maonyesho na kufanikiwa kuuza kazi zetu nchini Uingereza, kazi iliyobakia sasa ni kuhimarisha soko hilo huku tukifanya kazi kama hiyo hiyo hapa nyumbani,” alisema Luizer.
Alisema kuwa maonyesho yao yalijaza watu mbali mbali wa mataifa tofauti na kupata mwaliko mwingine ambao uongozi utaamua lini watarejea huko.
“Napongeza uongozi wa ASET chini ya Mwenyekiti, Msiilwa Baraka na Mkurugenzi, Asha Baraka kwa kufanikisha ziara hii ya tatu kwa bendi kufanya maonyesho Ulaya, mwaka 2005 tuliweza kufanya maonyesho katika nchi tano za Scandinavia na mwaka uliofuata tukaingia London kwa mara ya kwanza,” alisema.
Alisema kuwa hawakuwa wanakaa tu kusubiri kazi za kufanya maonyesho kwani wameweza kutunga nyimbo mbili, mmoja unajulikana kwa jina la Back to London uliotungwa na Chalz Baba na Uzuri wa Mwanamke mke siyo Tabia bali ulivyopendezewa uliotungwa na Saleh Kupaza.
Alisema kuwa nyimbo hizo zitafanyiwa mazoezi ili kuzihimarisha na kuanza kupigwa katika maonyesho yao mbali mbali ya mwisho wa wiki hii.
Mkurugenzi wa bendi hiyo, Asha Baraka aliwapongeza wote waliofanikisha ziara hiyo na kusema kwa ssa wanajipanga kwa ajili ya maonyesho ya hapa nyumbani na ziara nyingine za nje ya nchi.
.
Twanga pepeta hawapokelewi kama timu ya taifa wanapolewa na mmilikiwa bendi ombi tujenge utamatuni wa kuwapokea wahusika wa saana zote za maonyesho ili kuweza kuinua sanaa zote basata kazi kwenu kuhamasisha hilo
ReplyDeleteUBALOZI WA UINGEREZA NA BALOZI ZINGINE....akili zao hazisomeki kabisa, wakati mwingine watu wa kada muhimu, wakiwemo wasafiri wa dharura kama wagonjwa wananyimwa viza, halafu wanakuja kutoa viza kwa wacheza ngoma ,wakata viuno na wasafiri wa ajabu ajabu wasio rasmi kwa Tanzania yetu kama Mashoga na Wasagaji hivi kweli tutafika kwa Ushirikiano wa Kidiplomasia na watu wa namna hii???
ReplyDeleteWadau nilishuhudia Afisa wa juu wa Tandroads alinyimwa viza ya UK akiwa safarini likizo na wanawe huku kifedha akiwa yupo vizuri,kimaisha hana hata shida ya kuzamia huko na akiweza kumudu gharama ya safari kwa kila kitu, na nikaona Ubalozi wa Sweden wakitoa viza kwa mashoga Watanzania waliokuwa matembizini kwa fungate nchini Sweden.
ReplyDeleteNilijua tu miezi miwili haitapita bila Twanga kujifanya wanaandaa albamu yao inayofuata.Nyimbo hazina mvuto na hazidumu kabisa.Wanaipita hata Wenge Muzika kwa kutoa albamu nyingi
ReplyDeleteNasikia Shakashia na Amigolas wamebaki Uingereza. Kulikoni?
ReplyDeleteWEWE MDAU WA MANENO YASIOELEWEKA LAZIMA UJUE KITU KIMOJA HUYO AFISA WA TANROADS HANA LOLOTE LA KUWAFANYA UK WAMPE VIZA YA HUKO KWA NINI ASIENDE SEHEMU NYINGINE? ANAONEKANA MOJA KWA MOJA KISHA FISADI, WAZUNGU SIO WAJINGA YEYE NI NANI HASA KUPATA PESA HIO YA KUSAFIRI NA FAMILIA YAKE YOTE? PESA HIO KAITOA WAPI= KWA KIWANGO CHA KUPATA US DOLLER 350 KWA MWEZI ? YEYE HALIPI NYUMBA? NA AMESERVE PESA HIO MIAKA MINGAPI? WEWE HAO WAZUNGU KAMA HUWAJUI NI KAZI KWELI KWELI! HUYO AFISA KISHA IBA PESA ZA SERIKALI NDIO MAANA HAWAMPI VIZA. TWANGA PEPETA NI WASANII,UK WANATAKA KUWAONA WATU KAMA HAO AMBAO WANAINTERTAIN WATU. MASHOGA WAMEPEWA VIZA KWA SABABU WANASUPPORT HUMAN RIGHT KWANI HAPA KWETU WASENGE WANADHARAULIWA SANA KANA KWAMBA WAO SIO BINADAMU! JARIBU KUIJUA DEMOKRASY.
ReplyDeletenAONA KAKA WEWE SHULE ULIKIMBIA DARASA LA 5
MDAU NEWYORK
Waliachwa na ndege upo hapo tatizo ni nini na unashanga nini we mdau?
ReplyDeleteWewe Mdau wa NEW YORK wa 7 kutoka juu,Wasenge kujifanya wanaitambua Democracy na ku support Human Rights ni mbinu ya kutaka wakubalike ktk jamii,,,Usenge huo hatunao TZ labda kwenu kwenye makao makuu ya Usenge duniani huko Marekani!.
ReplyDeleteMfano kuna watu kama Rastafari, hawa watu ni Addicts (wana falsafa ya Bangi na Madawa ya kulevya) lakini wanataka wakubalike ktk jamii kwa kujifanya ni wapiganaji na wanaharakati (Humanitarian Activists).
Unaita watu wamekimbia shule darasa la 5 wewe Mdau wa NEW YORK?
Unaona mtu ukisha kuwa na utamaduni wa Umarekani unakuwa fala sana!
Kila kitu unapokea kama Mmarekani anavyokusomesha!
Democracy na Human Rights gani kwa kupiganiwa na watu kama Walevi na Wasenge?
Mdau wa 7 kutoka juu wewe Mnyamwezi wa NEW YORK,
ReplyDeleteHoja yako kuhusu bosi wa Tanroads aliyenyimwa viza ya UK inaweza kuwa na uzito kwa mazingira uliyosema,
Isipokuwa hoja yako ya Msenge na yule Teja aliyekolewa na moshi wa Bangi na Madawa ,hawezi kuwa muumini wa kweli wa HAKI ZA BINAADAM NA DEMOKRASIA KWA VILE KWA VITENDO HIVYO VIWILI (USENGE)na (UTEJA WA ULEVI WOWOTE) YUPO NJE YA MISINGI YAKE!
Mdanu wa Newyork,,, ahh acha hizo!!
ReplyDeleteShoga anaweza kupigania Demokrasia na kutetea haki za binadamu wakati yeye binafsi amezikiuka?
Mdau wa NEWYORK wamarekani wanawadanganya sana!!!
ReplyDeleteMsenge kupigania haki za binadamu na demokrasia?
Kundi hili la jamii ya jinsia moja linajichomeka ktk kila kona hadi ktk demokrasia na haki za binadamu ili kutafuta kukubalika ktk jumuia!
Mdau wa NEWYORK wa saba hapo juu,
ReplyDeleteUsenge na harakati za Haki za binadamu na Demokrasia;
Hivi una akili kweli?, yeye Shoga anakiuka utu wa mtu kwa kukataa jinsia halisi aliyonayo,
1.Je atatetea haki za binadamu vipi wakati yeye mwenyewe anajinyima haki?
2.Je, atapigania kumkomboa nani kwa haki za ubinaadamu wakati yeye mwenyewe yupo chini ya mamlaka chini ya kifua cha mwanaume mwenzie ameolewa?
3.Je, atamkomboa nani wakati yeye mwenyewe yupo chini amelalishwa kifudifudi amelaliwa juu na mwanamume mwenzie anapumuliwa kisogoni?
4.Msenge atajua Demokrasia inathamini utu wa mtu wakati yeye ana kaidi?
Mdau wa NEWYORK ,Wamarekani wanawadanganya sana huko fikra hizo sio za wewe ulie na asili ya huku ni za wajinga waliozaliwa huko wanaosomesheka kirahisi, hawa watu wa jinsia moja wajikomboe wao kwanza kwa kuacha ufirauni wao ndio waje kukomboa wengine kwa haki za ubinaadamu na demokrasia!