Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Philipo Mulugo (katikati) akibonyeza Kompyuta za Lap Top wakati wa Uzinduzi wa ugavi wa Kompyuta kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria zilizotolewa na Kampuni ya Royal Mark kwa bei ya Tsh laki nne na nusu (450000) tu.wa pili kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Prof Tolly Mbwette na kushoto ni rais wa serikali ya wanachuo,Mlagula John.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyo ni Prof Mbwette Kweli?

    ReplyDelete
  2. Mbona sijaelewa ugavi wa bure au hiyo laki nne ndio bei yake...i real dont understand na hzo computer zina specs gani?Da Mungu tusaidie watanzania sisi hata kujieleza tu hatuwezi.

    ReplyDelete
  3. Hizo ni laptop za "used"!!

    ReplyDelete
  4. Laptop za "used" ndio kitu gani?! Yani si kiswahili wa kiingereza wala kiswanglish...lol! Tuamke jamani...hata kutoa maoni mafupi tu tunashindwa kutulia na kufikiri tuandike nn!? Mtu aliyeweza kukaa kwenye computer na kuandikaa naamini ana upeo wa kutosha kujua anaandika nini. Ebu tubadilike...kah!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...