Na Mohammed Mhina, Handeni
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limewakamata watu 103 Rais wa Somalia wakiwa njiani kwenda nchini Malawi kutafuta maisha.
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga ACP Costantin Masawe, amesema kuwa wahamiaji hao haramu wamekamatwa jana na Polisi wilayani Handi katika maeneo mawili tofauti.
Amesema wasomali 32 walikamatwa majira ya saa 4.30 usiku huko kwenye kijiji cha Kwenjugo nje kidogo ya mji wa Handeni Chanika na wengine 71 walikamatwa saa 4.00 eneo la Vibaoni wilayni humo.
Amesema kuwa wasomali hao walikamatwa katika operesheni maalum ya kupambana na uhalifu katika kipindi hiki cha siku kuu za krismas kuelekea mwishoni mwa mwaka.
Kamanda Masawe amesema kuwa kukamatwa kwa watuhumiwa hao wa kigeni kunatokana na taarifa za kiintelijensia zilizopatikana za kuwepo kwa watu hao katika maeneo hayo.
Amesema kuwa kutokana na operesheni na ukaguzi unaofanywa na Polisi kwenye barabara kuu watomali yao wamekuwa wakishushwa kutoka kwenye magari ya mizigo na kutembea kwa miguu maporini ili kukwepa vizuizi vya Polisi hatua ambayo Polisi waliibaini.
Hiyo ni mara ya tatu kukamatwa kwa wasomali wilayani humo katika kipindi cha kuanzia mwezi septemba mwaka huu.
Wakimbizi wengine wawili walikamatwa eneo la Kabuku na wengine 12 walikamatwa eneo la wilayani Handeni wakiwa njia kuelekea Malawi kupitia mkoa wa Morogoro.
Kamanda Masawe ametoa wito kwa wanchi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kuwafichua wahalifu wakiwemo wahamiaji haramu.
Safi sana!!!!! ;Polisi Handeni kamata Al shaabab hao!
ReplyDeleteAcheni kuwaonea Wasomali. Wenzenu huku ughaibuni tunatumia uraia wao!!
ReplyDeleteUsijaji mtu kwanza pengine wanatafuta pakukaa kwa usalama wao.Hiyo Al-Shabab mmeijua leo mbona wapo siku nyingi tu na watakuja kwetu watafute nini?
ReplyDeletehuku ughaibuni ndio hao wanaotusaidia tunapewa sheria za kuishi na mpaka tunapewa uraia wa huku
ReplyDeleteacheni kuwanyanyasa
tukipata sisi tunajenga kwetu sasa hamuoni kuwa ni faida
jambo la pili hao mnawaona hawana maana wakifikishwa balozi zozote za nchi za ulaya au canada wanasafirishwa na wakifika wanapewa sheria na nyumba za kuishi na baada ya miaka 5 wanapewa passport za huko ughaibuni na wala hawana shida
msifikiri wanashida ya ukimbizi nchi za afrika hao wanakubaliwa ukimbizi dunia nzima na tena wanakula bata kiulaiiini
mbona warundi wamejaa bongo kila kona wengine wanafanya kazi kama machinga wengine wapo kwenye gereji za mitaani na wala hawajifichi na hamuwakamati acheni udini na roho mbovu......mdau ughaibuni.
kamanda masawe unataka kubanduliwa tu huna lolote mnashindwa kukamata majambazi na wala rushwa mnakamata wakimbizi
ReplyDeletesubirini na bongo kiwake alafu mkimbilie kwa wenzenu muone raha ya kuwa mkimbizi eti kamanda subiri wakusome sura huwajui hao
HABARI YAKO MHESHIMIWA KAMANDA. NIMERESPECT KWA UTENDAJI WAKO WA KAZI PAMOJA NA VJANA WAKO, ILA HAO JAMAA NINAVYO WAFAHAMU MM WALA HAWANA TIME YA KUBAKI HAPO BONGO, YAANI HAO MWENDO MDUNDO KAMA WAMEWAAMBIA MALAWI HIYO NI KWA UFUPI. HAO MANENO KWA BABU MADIBA, SAO, COLO WANA TAMBAA CENTRAL AMERICA MANENO MEXICO WANATWETA, HALAFU MIAMI SO PLZ MHESHIMIWA MSWALIE BWANA YESU WAPE MTAA HAO JAMAA. TUNAKULA EMPANADA KWA AJILI YA VURUGU ZAO TUNATAKE ADVANTAGE. MDAU LATINI
ReplyDeleteTanzania kama nchi inayojiheshimu itakuwa ni UTUMWA na AIBU KUBWA kwa watu wetu kuitwa WAKIMBIZI wakati nchi yetu ina rasilimali za kutosha.
ReplyDeleteSHERIA ZA NCHI NI LAZIMA ZIFUATWE KWA KUWAKAMATA WASAFIRI WOTE HARAMU KAMA HAWA WASOMALI AMBAO WENGI NI HATARI SANA, LICHA YA KUWA WANAWASAIDIA NINYI NDUGU ZETU HUKO UGHAIBUNI KWA SHERIA,,,UNAWEZA KUKUTA MSOMALI ANASAFIRI LAKINI HANA PESA YA AKIBA BALI ANA BUNDUKI AK-47 AU BOMU LA MKONO (HAND GRUNETT) KAMA RASILIMALI ILI AKIPUNGUKIWA NA PESA SAFARINI ANAIUZA BUNDUKI AU BOMU POPOTE KWA MAJAMBAZI ILI AWEZE KUSONGA MBELE NA SAFARI YAKE!
Nyinyi Watanzania mlio kuwa huko Ughaibuni mnatutia AIBU sana kwa kujiingiza ktk ukimbizi, kwa kuwa huo ni UVIVU NA UZEMBE WENU BINAFSI KIMAISHA KUSHINDWA KUKABILIANA NA MAISHA HAPA NYUMBANI NA KUMIMBILIA UGENINI KWENDA KUWA WAKIMBIZI!.
SUALA LA UONGOZI WA KIFISADI NA MAPUNGUFU MNAYOSEMA NA KUDAI ,YANATATULIWA NA WEWE NA MIMI ILI KULETA UONGOZI BORA NCHINI NA MAISHA BORA BADALA YA WEWE KUKIMBIA NCHI!
ACHENI UJINGA MRUDI NYUMBANI TUJENGE NCHI YETU!
NDIO NINYI MNAPOKUWA NA MATATIZO MNAKUNYWA POMBE ILI KUPOTEZA MAWAZO AU KUSAHAU BADALA YA KUTATUA MATATIZO!
KAMA MAISHA YAMEKUKATAA DAR ES SALAAM , BADALA YA KWENDA ULAYA AU MAREKANI KUWA MKIMBIZI, NCHI YETU NI KUBWA NA YENYE MALI NYINGI NENDA KALIUA TABORA UKAKATE MKAA!
Wadau mimi ni Muislamu na nimwesha wahi kukaa na kushirikiana maisha na Wasomali!
ReplyDeleteNimeachana nao kwa sababu nne (4)za dalili za tabia zao mbaya hapo chini.
Wasomali ni watu wakorofi sana kwa asili na kwa ujumla hawafai kabisa kwa ushirikiano nao, kwa vile wana dalili za tabia mbaya kama UBAGUZI, CHUKI BINAFSI,DHARAU NA WIVU! na hii ndio imekuwa mchawi wao mkubwa anayesababisha nchi yenye lugha moja inayojiita ina Dini moja ya Kiislamu kwa miaka 20 sasa ipo ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe!
Tanzania hatuwezi kujenga jamii bora kwa kuchanganyika na watu na aina hii.
Hapa ktk suala la kuwashughulikia hawa watu hakuna Udini wala Uonevu sheria za nchi ni lazima zifuatwe!
Wewe hebu angalia ktk kipindi ambacho al shabaab wamekamata maeneo mengi kiutawala Somalia waliweka sheria zao na ilikuwa lazima zifuatwe!
Cha ajabu al shaabab ni Mamlaka ya kidini lakini walikuwa wanaendesha mauaji kwa watu wasio na hatia sasa Dini ndio inasema hivi?
wewe mtoa maoni ANON dec saa 08:28AM
ReplyDeleteusijifanye umekaa na wasomali eti unawajuwa vizuri usiwe na akili za kipuuzi wewe ni mtu mzima
kukaa na wasomali na kuwasoma tabia zao isiwe sababu ya kuwanyanyasa
kama tabia ya ubinafsi ubaguzi na vinginevyo kila jamii inayo tabia hiyo hata sisi watanzania tupo kwenye kuongoza huo ubaguzi
na ndio maana mpaka leo watanzania waliopo hapo tanzania wenye asili ya warabu au wahindi hatuachi kuwaita warabu au wahindi kwanini tusiwaite watanzania
mtu akiolewa au kuowa mhindi basi jina litabadilishwa na kuwa yule mwenye mke mhindi au mume mhindi kwani yule mhindi hana jina?
jambo lingine kama umeishi na wasomali na kujuwa tabia zao basi ukae ukijuwa sisi wengine tumeishi na makabila au watu wa mataifa si chini ya 20 na tabia ni hizo hizo
hakuna watu nyoka kama warundi je hawapo hapo tanzania? wakejaa kila kona je wanasemwa kama hawa wasomali?
je hayo unayosema mabomu au bunduki hivi kweli hao wanaweza kusafiri na mibunduki mikubwa kama hiyo eti ili iwasaidie kuuza kuongezea hela za safari?? bulshit shame on u
mibunduki watapitanayo kila boda eti iwasaidie kuuza ili wapate hela mbona unaongea pumba mtu mzima kama wewe
kuhusu ukimbizi wa watanzania wenzetu haina maana kuwa wao ni wakimbizi wa kitanzania isipokuwa wamekwambia kuwa wanatumia hizo nchi kama somalia kujitangaza kuwa wao ni watu wa taifa hilo na badae kupewa hifadhi za kikimbizi
na faida ya hao wakimbizi ni kutafuta hela na badae kujenga na kuendeleza biashara kwenye nchi yetu sasa unaona kuwa ni tatizo kubuni njia hizo?
au unataka wote wajazane mjini kuwa matapeli na kubuni njia haram za kupata riziki?
pengine mdogo wako au mzazi wako au ndugu yako katika familia anafanya kazi kwa mtu ambae ana biashara zake hapo tanzania lakini mkazi wa ughaibuni.
Wewe Mtetezi wa Wasomali Anonymous wa Tue Dec 27,02:06:00 PM 2011
ReplyDeleteWasomali wengi na wasafiri haramu sure in sana pamoja na wewe mtetezi wao!
Hawa watu wana kasoro sana ZAIDI YA HAPO NI WABINAFSI SANAAA,,,,ndio maana wameshindwa kuishi ktk nchi yao WAKIWA WATUMWA NA WAKIMBIZI NJE ,huku kwa miaka 20 sasa wapo ktk vita ambayo msingi wake haujulikani wanagombea nini wakati nchi yao Maskini sana haina kitu!.
Hiyo Mogadishu yenyewe ilikuwa ni mji mzuri na sasa imekuwa kama kijiji ,unakuta ngo'mbe na ngamia hadi kati kati ya jiji!
Sasa watu hao unaowatete wako sawa kweli?
KATAA UTAKAVYO KATAA WASOMALI WANAOISHI TANZANIA KAMA RAIA NA HASA WANAOPITA NJIA WENGI NI WAHALIFU!
ANGALIA MZIKI HUU:
KUTOKANA NA REKODI YAO CHAFU YA UHALIFU KWA SASA WANAPATA TABU SANA KTK KUOMBA PASIPOTI ZA KUSAFIRIA HATA KAMA NI RAIA KAMILI WA TANZANIA!
Ndio ninyi WATWANA mnaofuga Wageni haramu kwa kupewa hela mbovu tu ya kula wali na maharage!
Mtetezi wa Wasomali,,,acha ujinga wako kabisa!
ReplyDeleteHawa jamaa hawakubaliki kabisa, hata Serikali yako Makini ya Tanzania imelijua hilo ndio maana Pasipoti wanapata kwa tabu sana ni kutokana na rekodi yao ya magomashi !.
Hebu angalia ktk wajanja wa maisha Mhindi au Mwarabu wa Tanzania pana anayehangaika na ukimbizi ugenini?
Wahindi hata iwe vipi atafanya juu chini hata kupata Pasipoti ya nchi ingine lakini kwa maslahi ya maisha tu na sio kutafuta maisha kwa njia ya Utumwa kama Ukimbizi!
1.Msomali ni hatari sana, unabisha hawezi ingiza bunduki?,,,kwani mwaka jana Uganda kwa Museveni walifanya nini?, Jamaa waliingiza mabomu Kampala kwa vipande vipande wakayaunganisha na wakalipua watu 76 walikuwa wanatazama World Cup 2010!
Wewewee, Jamaa wana uwezo wa juu sana wa kufoji ,wanaweza safiri na bunduki ikiwa imekatwa katwa vipande, Jamaa wana uwezo wa kusafiri na Pasipoti ya kike wewe unaweza?,,Jamaa wana uwezo wa kusafiri bila viza wewe unaweza?
2.Msomali shuwa ini sana, hapa ingefaa kwa magomashi ambayo hata Serikali ya Tanzania inafahamu ilibidi wanyangánywe Pasipoti ikiwezekana hata Kadi za Kura tukiwaachia tutakuwa tumewapa heshima sana wanyangánywe pia!,wawe wanasafiri na Kadi kama za Kliniki tu!
3.Kwa rekodi yao mbaya na chafu ya Uhalifu ,kama umewahi kusafiri kwenda hapo Kenya tu, na kama ulitembelea EAST LEIGH yaani Somalia ya Kenya ,pana soko moja la Mnadani la ''used'' hapo ni kama ile Mnadani ya Kariakoo panapouzwa vitu vya wizi hasa spare za magari,,,sasa kule Garissa Lodge WANAUZA HADI MABUNDUKI,KAMA AK-47 NA RISASI, WANAUZA PASI ZA KUGHUSHI NA KILA KITU HARAMU UNAPATA HAPO UNDER ONE ROOF!, HATA UKITAKA BOMU LA KURUSHA KWA MKONO UNAPATA!.
4.Hawa jamaa wana dalili kama za Uyahudi, na ndio maana hata kama wakiwa na Utaifa wowote wanajihesabu bado ni sehemu ya Taifa la Somalia,,,(Sasa haya ni matatizo sana) mfano Kenya ina raia wenye asili ya Somali wapo pia ktk Serikali na Jeshi, hivi juzi Serikali ya Kenya imepata wasiwasi kuwa labda Wasomali raia wa Kenya ktk jeshi lililoingia Somalia kuwasaka Al Shaabab wanaweza hujumu Kenya sasa hao ni watu wa kuwapa dhamana kweli?
Mdau wa 9 hapo juu Anonymous Tue Dec 27, 06:02:00 PM 2011
ReplyDeleteWewe Mtetea Wasomali,,,hawa watu hawafai kabisaaaa!!!
Angalia ni watu wa Namna gani kwa miongo miwili sasa (miaka 20) wanapigana vita za kiukoo?
KWA MTAZAMO HUO WA VITA ZA KIUKOO INA MAANA HII NI JAMII YA KUBAGUZI!
KWA NINI WAPIGANE KWA MISINGI YA KIUKOO?
JAMAA WAMESHINDWA KUJENGA NCHI YAO UNATEGEMEA WATAKUJA JENGA NCHI YAKO WEWE?
HAWA WATU FISI MAJI KABISA ,HAWAFAI!!
ACHA UPUMBAVU ,JARIBU KUWA NA AKILI, TAZAMA SERIKALI YETU NI MAKINI SANA NDIO MAANA INAWACHUKULIA HAWA WATU WASOMALI KWA TAHADHARI KUBWA KABISA!
Mdau Anonymous wa Tue Dec 27,02:06:00 PM 2011
ReplyDeleteNinyi ndio Mawakala wa wahalifu, kwa nini unawatetea Wahalifu Wasomali? unalipwa?
Wewe unonyesha hujasoma hata elimu hya uraia huna!
hehe watoa maoni wa mwisho mnaonekana mnapayuka kwa jazba tu hamna point yoyote......pambaffff!!!
ReplyDeleteAnonyomus wa Tue Dec 27,08:15:00 PM 2011 ulieishia....pambaffff!
ReplyDeleteNinyi ndio aina ya watu msiofaa ktk jamii yetu ya Tanzania!
MPUMBAFU MWENDA MGONGO WAZI NA NDARA MKONONI WEWE NA POLISI YA SERIKALI YA TANZANIA NANI ANA AKILI?
HAKUNA JAZBA WALA NINI, HAWA WATU(WASOMALI) NI WAHALIFU NDIO MAANA POLISI YA SERIKALI YAKO HUKO HANDENI IMEWAKAMATA!
WASOMALI YALIYOWAKUTA MAREKANI KATIKA KUTAPATAPA WAKITAFUTA UKIMBIZI NCHI ZA NJE:
ReplyDeleteMiaka ya nyuma Wasomali walizoea sana kufikia malengo UK (Uingreza) mwanzoni wakianza Utumwa wao wa Ukimbizi.
Mtindo waliokuwa wanatumia ulikuwa wanaondoka na Pasipoti za Tanzania na nchi zingine halafu wakifika Uwanja wa Ndege Uingereza wanachana pasipoti na kujikabidhi kama Wakimbizi.
Sasa Joto ya jiwe waliipata, wakaona wabadili kiwanja waende Marekani, Asalaleeee kule walikoma!!!
Walipofika Uwanja wa ndege au Bandari za Marekani na kuchana pasipoti, Askari wa Uhamiaji INS au US Coast Guards wa Marekani,
WALIKUWA WANAWAKAMATA WANAWAWEKA KTK MABWALO WANAVUA MIKANDA YA SURUALI NA KUWACHAPA MAKONDE KAMA MABONDIA WANAOFANYA MAZOEZI HADI WATAJE NI NCHI GANI WAMETOKA NA WAKIZIDIWA WAKITAJA WANARUDISHWA!
Wasomali heshima yao imeshuka kabisa katika Dunia na SASA WAMEKUWA WATUMWA WA DUNIA KWA UKIMBIZI!!!
ReplyDeleteWasomali, hawastahili kutumia Pasipoti yetu ya Tanzania hata kama wao ni Raia halali kwa vile kama Wadau wanavyodai hapo juu hawa wanajihesabu kama raia asilia wa Taifa la Somalia,,,sasa kwa msingi huo.
ReplyDelete1.Wasipewe Pasipoti badala yake watumie KADI KAMA ZA KLINIKI kwa kusafiria kwa vile sio watu wa kuwaamini na kuwapa kitu NYETI kama Pasipoti ya nchi!.
2.KADI ZA KURA, ndio wasipate kabisa kwa vile wapo mguu nje mguu ndani na wanajihesabu kama bado ni Raia wa Taifa lao la Somalia ingawa wapo huku kama Raia kamili wa Tanzania.
3.Hawa watu Wasomali hawabebeki hata hiyo UN inazo Pasipoti zake lakini hata nayo inasita kuwapatia kwa kutoaminika kwao!
4.MSINGI MKUU WA VITA YA MIONGO MIWILI 1991-2011 KWAO NI DHANA YA ''UBAGUZI ULIOOTA MIZIZI'' KITU KAMA NASABA KIUKOO.
Ni hayo tu yangu maoni!
Wewe jamaa unayesema"WASOMALI wasipewe passport hata kama ni raia halali,hivi una akili timamu. Ni chini unasema hayo ni maoni yangu. Hivi unajua kitu kinaitwa ubaguzi. Tanzania haiwezi kuamua sheria ambazo ni kinyume na sheria za kimataifa.Nenda shule ndio ujibu hoja.Acha kujibu kwa chuki binafsi, jibu hoja. Siungi mkono wanaovunja sheria wachukuliwe hatua. Kuna wasomali wengi wachapakazi ambao ni raia halali, na wamechangia maendeleo ya nchi yetu. Baadhi ya watu acheni ujinga. Uraia hauna rangi. Ubama ni raia wa America, watu wake wengi ni white european.Kuna wazungu south africa ni raia wa South africa, na kuna wahindi na waarabu raia wa tanzania. Kuna watu kutoka tanzania wameukana uraia wa tanzania na sasa ni raia wa nchi nyingine, lakini ki asili wanabaki kua ni watanzania.uraia wanakuwa huo uraia mpya.Acheni chuki jibu hoja. Kwanza uelewe hao wakimbizi wa kisomali wengi wao wanapita kwenda nchi nyingine. Na kuna jamaa mmoja hapo juu anasema kuhusu wakimbizi kutweswa ili waseme wametoka wapi ni uongo mtupu.IT IS AGAINST INTERNATIONAL LAW, THATS IS CONSIDERED TORTURE.western wanajua wanaweza kushtakiwa. Bongo ndio wakumbizi wanateswa kwa siri, mataifa ya nje yakijua itakua issue kubwa. sasa wale madomo kaya jibuni ujinga wenu nasubiri.
ReplyDeletewewe mdau wa hapo juu. we utafurahi kabila yako wakiambiwa wasipewe uraia wakiwa raia halali utafurahi. Hivi unafahamu kuna wamakonde msumbiji,,,,,kuna wadigo kenya. Kuna wamasai kenya. Na kuna warundi wa tanzania. Watusi wa tanzania. na vile vile uelewe kuna WASOMALI WA TANZANIA. kuna waarabu wa tanzania. wa hindi wa tanzania. Sheria za uraia haziangilii rangi ya ngozi. Inaangalia vigezo vingine. Ndio maana kuna wazungu raia wa tanzania. Kama hujaona uliza utambiwa. Acheni kujibu bila ya kufikiria.Siungi mkono kwa mtu anaevunja sheria kuto kuhukumiwa, ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.sio kuangalia bilarangi ya ngozi yake.acheni ujinga.....
ReplyDeleteMDAU HAPO UNAESEMA HATA UN WANAZO PASSPORT ZA WASOMALI, LAKINI HAIWAPI KWA SABABU HAIWAAMINI.....HIYO NI POROJO TU YA KUONDOKA.
ReplyDeleteHOJA 1.KUNA RAIA WENGI WA KISOMALI TANZANIA WENGINE WAKO VIJIJINI, HATA KENYA HAWAJAFIKA. BABA ZAO WALIZALIWA TANZANIA NA WENGINE BABU ZAO WALIZALIWA. NI RAIA HALALI NA SERIKALI INAWATAMBAU.
HOJA YA PILI. LABDA UNAKUSUDIA RAIA WA KISOMALI WALIOPEWA URAIA MUDA MFUPI ULIOPITA. NA UELEWE KUNA VITU VIWILI UNATOFAUTISHA URAIA NA ASILI YA MTU. MFANO, MCHAGA WA DAR ASILI YAKE NI MOSHI. ATAENDA MOSHI KRISMAS. HIYO HAIMANIISHI HANA MAPENZI NA JIJI LA DAR,BALI NI MKAZI NA MOSHI NI ASILI YAKE. SASA CHUKUA MFANO DAR INGEKUWA NCHI NA MOSHI INGEKUWA NCHI.
HOJA NAMBA3.UN HAITOI PASSPORT KWA RAIA WA NCHI YOYOTE.NCHI ZINATAMBUA PASSPORT YA NCHI NYINGINE. LAKINI NCHI INATOA PASSPORT YENYEWE.
HOJA YA 4. MATATIZO YA SOMALIA YAMESABABISHWA NA UKABILA. NA UKABILA UMELETWA NA VIONGOZI ULIOPIA. RAIA HAWANA MAKOSA WENYE MAKOSA NI VIONGOZI. UNAWEZA UKATOKEA TANZANIA.WATU WAKAGOMBANA KWA SABABU YA UKABILA.
NAOMBA MWEHESHIMIWA UPOST HIYO COMMENT YANGU. KWA SABABU WATU BADO WANAANGALIA HIYO ARTICLE. HAPPY NEW YEAR.
ReplyDeletechuki ya wasomali imewafanya watu wawe wajinga. Na wajinga wa tanzania wata igeuza nchi yenu iwe kama rwanda. Ukiwafukuza wasomali tanzania hiyo inaitwa ethnic cleansing na kesho misaada yote mnayo tegemea itasimamisha.
ReplyDeleteYule anonymous aliyesema wasomali wanapigwa mangumi marekani ni muongo mtupu kwani hiyo marekani amefika? Mimi nimesoma marekani na nimewaona wasomali upende usipende wamefika mbali minessotta state wameendeleza na hate mbunge wa hapo aliyeshinda alikuwa muislam na senator wote wakigombania kura wanajaribu hate kuongea kisomali.
Marekani si bongo wanaheshimu wafanya biashara lakini nyie wivu tupu ndio maana hata mozambique iliyo acha vita juzi imewashinda.
Kuhusu kenya hata usionge nenda shule kasome geohraphia. Mikoa miwili mikubwa kenya nzima iko kaskazini na hizo ni mikoa ya wasomali. Ukipita nyanyuki unaingia isiolo mpaka mpakani mwa ethiopia na somalia ni miji ya wasomali. Wasomali kenya wan arthi yao ndio maana hawawezi kuonewa kama nyie wabongo mnavyo waonea.
Wasomali kenya wameendeleza nchi hata viongozi mahiri ni wao..iwe waziri wa ulinzi, makamo wa biashara, mku wa postal office, mku wa upelelezi, spika msaidizi wa bunge , mwenyekiti wa constitution, mku wa usimamizi wa kura na wabunge 22 ni wasomali.
Wasomali mnasema ni wakorofi si kikwete alisema kuhusu hasan bashe ...alafu ikawa kwamba alikuwa mtanzania. Nyie mnataka kuwaonea na wakipigania haki zao mnawaita wakorofi.
Mungu awafungue hao wasomali macho na kenya tunawakaribisha. Kabla hujatukana kenya budgeti yetu asilimia 98 ni yetu wakata yenu asilimia 60 misada.
chuki na wivo na uongo haijengi nchi. Rwanda imewapita, uganda inawapeta hata museveni amewaambia uganda wassche ubishi wasomali wame ikomaza uchumi wao mafuta uganda na kenya rahisi kuliko tanzania na hi nisababu wasomali si wabaghili kutaka pesa nyingi.
Mwisho hiyo amani mnaejisifia nae siku moja itawatoka na hiyo chuki mliyo jenga mungu tu awasaidie