The new Au Headquarters in Addis Ababa, Ethiopia, as seen this Sunday
Forefathers of the African Union. One of them has been forgotten though. Guess who?
Standing on what was once Ethiopia's oldest maximum security prison, the new African Union headquarters funded by China is a symbol of the Asian giant's push to stay ahead in Africa and gain greater access to the continent's resources. Critics point to an imbalance in what they see as the new "Scramble for Africa". But the prospect of growing Chinese economic influence is welcomed by African leaders, who see Beijing as a partner to help build their economies at a time when Europe and the United States are mired in economic turmoil.
And Africans are hoping for more Chinese largesse.
"The future prospects of our partnership are even brighter," Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi said on Saturday at the new headquarters' multi-storey amphitheatre, where an African heads of states' summit take place today and Monday.
"China - its amazing re-emergence and its commitments for a win-win partnership with Africa - is one of the reasons for the beginning of the African renaissance," he said.
The brown marble and glass monolith was fully paid for by China, right down to the office furniture, and cost $200 million. The office complex and almost 100 metre (330 foot) tower is Addis Ababa's tallest building by far.
For the past decade, Africa has recorded economic growth of an average of 5 percent but its under-developed infrastructure has in part hindered its capacity to develop further.
UDUMU USHIRIKIANO KATI YA AFRIKA NA CHINA. WAKATI WA WAAFRIKA KUAMBIWA NA MABEBERU ETI NANI AWE RAFIKI YETU NA NANI AWE ADUI WETU UMEKWISHA. SISI SI WATOTO. WAAFRIKA LAZIMA TUTEE MASLAHI YETU, TUACHE KUWA VIBUA VYA MABABERU. MUNGU IBARIKI AFRIKA. AMEN.
ReplyDeleteJ.K Nyerere forgotten......!!!!Wanafiki
ReplyDeleteDavid V
colonel muhammar gadaffi forgotten
ReplyDeleteDu! hayo majengo yanavutia sana,nimepatwa na mawazo ya kufikiria jengo letu jipya la Bunge jinsi lilivyo borongwa, sijui yule architecture walimuokota wapi
ReplyDeleteFrom LIBYA
ReplyDeleteNyerere yumo ktk waanzulishi?
ReplyDeleteForgotten? he must be irrelevant then!
ReplyDeleteHatari, China si nchi ya kuwa na urafiki nayo as wako pale only kuiangamiza Afrika. Time will tell ila I tell you China is killing us softly.
ReplyDeleteWestern countries wanajuwa fika hawawezi tena kuchukuwa nafasi tena kwenye ulimwengu bila ya kutumia military action through out the world. Mwizi ni mwizi tu mpaka jua likitua. china walikuwa so advance tangu enzi za mitume kama utasoma history kwa mapama. Kwa dunia ya leo ubabe hamna tena waache wawatese waarabu kwani bado wamelala.
ReplyDeletewe will always miss u so much kanali gadafi u was the best for our african unit.
ReplyDeleteR.I.P we wil will always remember u.
R.I.P GADAFI ULIKUWA KIFAA CHA AFRIKA WEWE NI KIUNGO MUHIMU NA HATUTOACHA KUKUOMBEA. KIFO CHAKO KINGEKUWA NI KIFO CHA KAWAIDA NA SIO KIFO CHA KUULIWA NINA UHAKIKA MAZIKO YAKO YANGEKUWA YA KIHISTORIA.
ReplyDeleter.i.p jembe gadafi
ReplyDeleteChina wamefanya la maana kutujengea wangetoa pesa zingeingia mifukoni mwa viongozi wetu halafu ikawa story.
ReplyDeleteChina wamefanya la maana kutujengea wangetoa pesa zingeingia mifukoni mwa viongozi wetu halafu ikawa story.
ReplyDeleteWho's been forgotten? Mwl. JK Nyerere!
ReplyDeleteNimechemka comment yangu iliyopita. Nilijibu Nyerere, lakini nadhani ni yeye kwenye black & white photo. Jibu la aliyekosekana ni MUAMMAR GADDAFI!
ReplyDeletehaya majengo kajenga mchina hayo shauri zenu mnadua made in china mambo yake ngazi zikianza kunasa watajijua.Hivi makao makuu ya africa maisha yote yanakua sehemu moja?
ReplyDeleteIN THIS WORLD THERE IS NO FREE LUNCH!!!
ReplyDeleteHivi kweli tunafikira timamu.
ReplyDeleteHivi kweli hatuna haya tunashangilia kujengewa jengo muhimu la AU na wageni???
Nchi zote zaidi ya 50 za Africa na utajiri wa rasilimali zote tulizo nazo, eti leo mpaka tupewe msaada wa kuijenga AU??
Hii ni nini tafsiri yake? Na vizazi vijavyo watajifunza nini au watatulaani??
Heri ingekuwa kitu kingine sio kujengewa makao makuu ya AU.
Hivi hapo bongo tunaweza kukubali nchi nyingine ije itujengee jengo la Ikulu???
Hii ni kujidhalilisha na kudharaulisha kupita kiasi. Ni sawa na kupewa chupi za msaada, Utu wetu uko wapi??
Tuliwatimua wakoloni, na leo hii kizazi cha sasa tunakaribisha ukoloni wa aina nyingine.
Mwenyezi Mungu ametupa kila kitu, na bado tu masikini tunazurura kila kona ya dunia kuombaomba.
Hivi hao wachina ni wajinga waje kutujengea tu eti kwamba wanatupenda sana au...??
What a shame!!!
I think the one who has been forgotten is none other than our beloved, one and only, the late, true friend, Brother-Leader Col. Muammar Ghadhafi...
ReplyDeleteHowever, I have the opinion that it is not fair at all - and if we have done this, then as Africans we should be ashamed, first for lack of appreciation, and second for bertraying our 'bro leader'. It shows how ungrateful we can be, and this negatively impacts our future as the continent... think about 'CHARITY BEGINS AT HOME...' even those we are trying to impress will see us for what we are!
No matter what the end was, Col Ghadafi deserves recognition as the champion of the African Union (Unity). R I P Brother Leader.
Nyerere hayupo katika hizo picha. Gaddafi katajwa sana lakini Gaddafi hayumo katika viongozi waanzilishili AU by then OAU. Naomba wadau walio mtaja Gaddafi warudi kutafuta vitabu vyao au madaftari yao ya historia
ReplyDeleteThe Chinese be killing us softly,.. let's just wait and see.
ReplyDeleteKwani Ghadafi alikuwa mwanzilishi? Nimeishasahau historia hata hivyo nakumbuka alichukua nchi mwaka 1969 hivi na OAU ilishaanzishwa by then (?) Hata hivyo nakubali mchango wake huyu jamaa.
ReplyDeleteCHINA NDIO MSHIRIKA WA KWELI KWA WAAFRIKA NA SIO MAGHARIBI (MAREKANI + UMOJA WA ULAYA),,,WANAOTUBANA KWA MASHARITI YA AJABU ILI WATUPE MISAADA BADALA YA KUJENGA USHIRIKIANO WA KIUTENDAJI NA MAENDELEO!
ReplyDelete-KINACHOBA BAKI BAADA YA JENGO LA AU NI:
1.POLITICAL CONFEDENCE-(Kujiamini kisiasa)
2.ECONOMIC CONFIDENCE-(Kujiamini Kiuchumi)
3.TEAM WORK CONFIDENCE-(Kushirikiana na wenza China kama Washirika na sio kwa uhusiano wa mmaja kupokea Maazimio ya mwenzie/ kama mfumo wanavyoupendelea Mabeberu wa MAGHARIBI!
NI WAKATI MUAFAKA AFRIKA KUACHANA NA WASHIRIKA WA KIMASLAHI KUPITIA VITA NA SERA ZA UPANDE MMOJA!
MUAMMAR GADAFI
ReplyDeleteHata mimi nawaunga mkono wazalendo Waafrika wanaom-miss shujaa Gaddafi, hasa baada ya kusoma ripoti za UN na Human Rights Watch za December 2011 zinazolaani kuwekwa kizuizini zaidi ya watu weusi 8,000 (Walibya na Waafrika wengine weusi) bila kufikishwa mahakamani na baada ya watu weusi wote kufukuzwa kutoka katika mji mmoja karibu na Bani Walid eti kwa kosa la kum-support shahidi Gaddafy. Cha kukera ni kuwa mabeberu wamepata "kigugumizi" na kushindwa kulaani ukiukwaji wa haki za watu weusi (kizuizini, mauaji na ubakaji wa wanawake weusi)unaofanywa na serikali ya vibaraka wa NTC. Wale ambao wanaona kuwa Afrika iikimbatie West na kufuata amri yao peke yao, wakumbuke kuwa, katika miaka ya 1960's wakati wa harakati ya ukombozi kusini mwa Afrika, nchi zote za Ulaya na USA walikataa kujenga reli kutoka Zambia hadi Dar es Salaam. Wachina wakaingia na ndani ya miaka mitatu tu wakajenga reli ndefu kuliko zote Afrika ili kuepusha Zambia isiwe tegemezi kwa Rhodesia ya Smith na Msumbiji ya Wareno katika kusafirisha shaba yake. Nami pia nasema: UDUMU URAFIKI WA AFRIKA NA CHINA. NATO WAKOME KUTUPA AMRI SISI SIO WATUMWA WAO TENA. VENCEREMOS!!!!!! A LUTTA CONTINUA!!!!!
ReplyDeleteGaddafi sii mwasisi wa OAU kwani alimpindua mfalme Idris akiwa ziarani nje 1969, wakati OAU ilishaanzishwa 1963!
ReplyDeleteIkumbukwe kwamba sifa nyingi za Gaddafi zimekuzwa sana na watu ambao hawajui historia yake. Mwaka 1978 tukiwa vitani na nduli Iddi Amin, Gaddafi akiwa swahiba wa Iddi Amin alituma askari wake kupambana na vikosi vyetu na tukakamata zaidi ya askari 400 wa gaddafi na tuliposhinda vita mwaka april 1979, alimwambia baba wa taifa mwalimu Nyerere kwamba atamlipa fedha ili waachie mateka. Mwalimu alimjibu na kumweleza yeye hauzi binadamu kwa hivyo aombe radhi na aliruhusiwa kuchukua askari wake. Guys the moment you lack positive succession plan consider your legacy gone.
Only NKRUMAH is forgotten hao mnaowataja jyie ni waanzilishi?
ReplyDeleteChina wanafanya biashara na sisi, interest yao ni biashara tu. Hao west wanataka kunyonya tu na kutupangia jinsi ya kuishi!
ReplyDeleteRIP Muamar Ghadafi! Kwanini hayupo hapo?
Hongera China. Wewe misaada au mikopo yako haina masharti kama ya watu wa Ulaya na Marekani ingawaje na wewe unagema damu kwa ulaini. Lakini tunajua kuwa "Zimwi likujualo halikuli lika......" Bora utujengee usitupe pesa kwani hizo pesa zinaishia mifukoni mwa mafisadi tu.
ReplyDeleteKitu kimesimama kweli cost a fraction of Bot twin towers?
ReplyDeleteMisaada mingine ni hatari sana. For security reasons, that building is not secure at all. Yaani siku ikitokea African Union ikazinguana na China, hilo jengo litakuwa ni HAZARD. Kwa kuwa wamejenga wao kwa 100% wanajua security weaknesses zilipo. Hivi nikweli Waafrika tunakosa USD 200m za kujenga jengo letu wenyewe? Kule Equatorial Guine mtoto wa Rais anachezea pesa tu, anaogolea kwenye wimbi la starehe wakati wananchi wanakufa kwa utapiamlo.
ReplyDeleteAliyeturoga Waafrika kwa kweli alituweza!
Furahini wamewajengea,Chekeni wanawasaidia. Muda ukifika wa kudai vyao mtakoma. Ni sawa na ile hadithi ya "kila kitu umeshalipiwa, umeshalipiwa" Baadaye unakuja kuombwa makalio. Hakuna mtu anayekupa kitu bure duniani. Hao Wachina wanapiga mahesabu ya mbali. Baada ya miaka michache wanakuja kuomba ardhi yetu na kutuletea uovu wao kama Waarab na Wazungu walivyofanya mwanzoni.Oooh oh
ReplyDeleteWachina wa leo sio wale wachina wa Reli ya TAZARA maana na wao ni mabeberu tu wenye kujali faida tofauti yao na nchi za magharibi wako tayari kufanya biashara na kuwa na ushirikiano na kiongozi yeyote hata kama anaua raia zake kwao haki za binadamu sio muhimu ili mradi wananfaidika na biashara
ReplyDeleteGadhaffi ana umaana gani hapo? Hana lolote alikuwa anatumia African Union kujipatia umaarufu hakuwa kiongozi wenye upeo wowote zaidi ya kuwa dikteta long live Libya kazi mliyoifanya ni nzuri kumfutilia mbali dikteta Gadhaffi bado wengine
ReplyDeleteUMOJA WA AFRICA - AKA OAU ULIANZALINI? NA GADAFI ALIKUWA RAIS WA LIBYA LINI (1969). HIVYO BASI GADAFI WAS NOT A FOUNDING MEMBER OF OAU
ReplyDeleteMuammara Gaddafi hakuwa mwanzilishi wa OAU, bali AU. Mwalimu yupo katika hizo picha, angalieni vizuri. Mwalimu alikuwa mashine, huko ughaibuni wanamheshimu sana, lakini hapa kwetu ni kama tumemzika kwa kila kitu!!!
ReplyDeleteThey have forgotten Mwalimu. I have not seen his picture. Although they have not displayed his picture we know he was, he is he will always be the forefather of Africa. God bless Africa.
ReplyDeletehttp://signup.wazzub.info/?lrRef=a505a if you need to make money on internet
ReplyDeleteNimpende nani?, nimwamini nani?, kila mtu ananigeukia!
ReplyDelete(Hicho hapo juu ni kipande cha wimbo wa Mwanamuziki mmoja wa Kikazi kipya)
DUNIA YA SASA SIO YA KUMWAMINI KILA ALIYE MBELE YAKO!
Si CHINA si MAGHARIBI, cha msingi ni kuwa makini na kila Mshirika aliye mbele yako, kwa kuwa TAMAA NA UCHU WA MASLAHI HAVINA KWAO!