KITAMBI NOMA SC ILIPOSHIRIKI BONANZA LA GRAND MALT YEAR OPENING 2012@GENERAL TYRE GROUNDS - ARUSHA NA KUFANIKIWA KUFIKA HATUA YA FAINALI AMBAPO MCHEZO ULISHINDWA KUMALIZIKA BAADA YA MWAMUZI WA MCHEZO KUWAPA WACHEZAJI WA KITAMBI NOMA WATATU KADI NYEKUNDU BAADA YA WACHEZAJI KULALAMIKA UPENDELEO WA MWAMUZI WA MCHEZO AMBAE TOKEA HATUA ZA MWANZO ALIAHIDI KUITOKOMEZA KITAMBI NOMA ISICHUKUE USHINDI.
KITAMBI NOMA ILIFANIKIWA KUFIKA HATUA YA FAINALI BAADA KUONDOSHA TIMU TISHIO JIJINI ARUSHA; TASWA, TBL NA BAADAE KUIONDOA EXECUTIVE 11 KTK HATUA YA NUSU FAINALI NA BADAE KUKUTANA NA NJIRO SECURITY CLUB KTK FAINALI ILIYOMALIZIKA BILA MSHINDI BAADA YA KUTOKEA VURUGU.
KITAMBI NOMA WALITAWALA VIWANJA VYA GENEAL TYRE KILA IDARA; WANACHAMA WAKE WALIPENDEZA NDANI YA FULANAZ ZAO ZENYE NEMBO YA KITAMBI NOMA, PIA KITAMBI NOMA WALIONGOZA KTK SWALA ZIMA BURUDANI KWANI WALIWEZA KUIFUNIKA BENDI YA THE KILIMANJARO - ARUSHA KWA KUBURUDISHA UMMA KUPITIA WAIMBAJI WAKE MACHACHARI; JIMMY CHOCOLATE NA MR. CHALZ MZEE WA DAWA....MBALI NA HAYO WANAKITAMBI NOMA WALIIBUKA VINARA KTK SWALA ZIMA LA KUGIDA ULABU KWANI WALIMALIZA KONTENA ZIMA YA BIERE ZILIZOLETWA UWANJANI NA TBL NA HAKUNA HATA MMOJA ALIYELEWA.
Duuu! ankal hao vitambi noma mbona hatari wamegida container lote la gambe? mama weeee!mama weee!
ReplyDeleteHawa jamaa wapunguze Vitambi vyao pia zaidi ya Mazoezi na Michezo wapewe Semina Elekezi kuhusu mwenendo wa Maisha ya kila siku na Lishe ili kufikia lengo la kukata vitambi inawabidi kubadili HULKA YA UNYWAJI NA ULAJI!.
ReplyDelete