President Jakaya Kikwete is received by the Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives Professor Jumanne Maghembe as he arrives at the Davos Sheraton in Switzerland ahead of the four day World Economic Forum held annually in the mountainous health resort. The forum, that goes under the theme: " The Great Transformation: Shaping New Models", Ais being attended by mong others President Kikwete is also scheduled to hold a number of private meetings and bilateral talks with prominent world leaders and entrepreneurs, besides attending interactive sessions on different issues.
President Jakaya Kikwete holding a preparatory meeting with his delegations soon after arrival at the Davos Sheraton in Switzerland ahead of the start of the four day World Economic Forum held annually in the mountainous health resort. The forum, that goes under the theme: " The Great Transformation: Shaping New Models", Ais being attended by mong others President Kikwete is also scheduled to hold a number of private meetings and bilateral talks with prominent world leaders and entrepreneurs, besides attending interactive sessions on different issues. (PHOTOS BY STATE HOUSE).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Mimi nafikri sasa michuzi umeanza either wewe au wanaopost wamechoka na hawafuati protocal za kurpoti vitu.
    Davos ni nchi gani?toeni habari zinazojitosheleza.
    Kwa wenzetu huku ulaya ukisema raisi aenda Dodoma kwa mfano au Kigali.Hawaelewi kabisa,sasa sisi mnatulazimisha kujua miji ya wenzetu,bora kutaja jina la nchi.
    I HIO NIMEELEWEKA.Unajua watanzania,ukijua kitu unataka kutufanya wote tunakijua-HUO NI UTUMWA NA UMEPITWA NA WAKATI

    ReplyDelete
  2. sasa hio sheraton davos iko wapi? mji gani? jaribuni kuweka habari zenu kwa umakini sio kwamba kila mtu anajua kama ninyi mnavyo hisi.oona sasa nashindwa kujua rais yuko nchi gani.try to be specific (specify place,city,country,if its possible continent(in some cases))..

    ReplyDelete
  3. Well done Kikwete, you are great expand your horizon. Haya vijana basi nyie msuwaki wa udini na siasa uchwara. Mambo ya maendeleo hamna cotribution yeyote.

    ReplyDelete
  4. Mkubwa Kikwete, winter hilo ulilolifaa koti, vijana wako ndo tunahangaikaga kutafuta vijisenti kwenye mazingira hayo, na bado tukituma nyumbani au kuwekeza, bado tunazinguliwa. Tutatulieni kero!

    ReplyDelete
  5. Davos ni nchi gani au ni mji ktk nchi gani wajameni? na kama ni europe mbona wote ni waswahili? au waliamua kwenda kukifanyia "ugaibuni"?

    Haya bwana mie sipo

    ReplyDelete
  6. jamani kwa mimi nionavyo mbona hapo maelezo yamejieleza na nchi na hapo sio kwenye mkutano hapo ni wanakututana wao kwanza bado mkutano wa furum haujaanza

    ReplyDelete
  7. wajamen Davos ni Uswis nami nimeona humu humu kupitia katika picha za Ankal akiwa Davos Kloster Uswis.

    Mama P

    ReplyDelete
  8. Michuzi andika habari zote kwa kiswahili maana kuna watu hawaelewi hiyo lugha hapo imeandikwa kabisa Davos Switzerland yani mji ni Davos nchi ni Uswisi bado watu wanahoji ni nchi gani??? Hii inaonyesha watu hawaelewi lugha uliyotumia hapo mzee mithupu!!!

    ReplyDelete
  9. Wengi wa watanzania ni wavivu wa kupenda kujisomea. Habari hii ni fupi sana, lakini watu hawajaielewa. Inawezekana ni udhaifu wa wengi kutokujua kiingereza vizuri. Rudia kusoma kwa makini, utaona jina la nchi!! Pia rudia na kurudia tena kusoma, utajua hicho kikao wanachofanya hao mliowaita waswahili tu ni cha nini!! Mdau-Stkholm!

    ReplyDelete
  10. DAVOS NI MJI UKO SWISS,EUROPE KWA NYINYI MSIOJUA DUNIA WALA GEOGRAFIA.! HAPO KAWAIDA KILA MWAKA HUWA UNAFANYIKA MKUTANO WA KUJADILI UCHUMI DUNIANI. NA KILA VIONGOZI WALIOALIKWA HUKUTANA HAPO NA KUTOA TAARIFA ZAO KUHUSU NCHI ZAO NA KUELEZA NINI UNATAKIWA AU UNATAKA KUSAIDIWA- KINGINE KAMA WATANZANIA MNAWEZA KUONA PICHA HIZO NDIVYO SISI WABEBA BOX TUNACHACHATIKA NA HALI HIO YA BARAFU YA MIEZI 7 YA MWAKA ILI KUJITUTUA KIUCHUMI MSIFIKIRI PESA INAPATIOKANA KIRAHISI. HAKUNA RUSHWA HUKU, WALA MISSION TOWN, HAPANA. WALA VIONGOZI HAWANA UFISADI HUKU KILA MTU ANATOKA JASHO SIO KUIBA AU KUFISADI KIRAHISI KWA SABABU WEWE UMEKAA KWENYE CHEO CHA KULA.

    ReplyDelete
  11. Wanaouliz aRais kaenda kufanya nini Davos ningewashauri wapunguze uvivu wa kufikiri. Kwa mfano tizama stori hii ya New York Times kuhusu Bill Gates na hata nchi yetu inajadiliwa. Rais wetu ndiye mpiga debe wetu mkuu.Sio wote wanapota mwaliko wa Davos. Hapo unatengeneza networks za kusaidia nchi yako na biashara zake. Kikwete anapaswa kuuongwa mkono na kupongezwa kwa jitihadas kama hizi. nhttp://dealbook.nytimes.com/2012/01/24/gates-to-pitch-his-charity-work-in-davos/?scp=5&sq=davos&st=csea

    ReplyDelete
  12. hahahahahahaaaaaaaaaaa ankali ndio maana kumbe umefika huko maana safari zako za kudandia pipa la muheshimiwa zimeanza tena

    leo umetuwekea mapicha yako ya kufika huko davos kumbe umefatana na mkubwa hapo ndio nimeamini kuwa wewe ni nanihii wa taifa kisirisiri

    lakini jaribu kuweka wazi kichwa cha habari taja jina la nchi na sio jina la mji maana sio wote watakaoelewa mji huo upo nchi gani.


    karibu tena ughaibuni sema jitahidi na kuvaa vitu vya baridi achana na kujikaza kisabuni baridi linatesa watu huku ughaibuni kwa maradhi mengi ya mifupa na kutolewa maji kwenye mbavu.


    ubalozi wa kujitegemea ughaibuni.

    ReplyDelete
  13. Mhh hilo koti la waziri wa chakula na kilimo limekaaje jamani...kapewa na red cross nini???

    ReplyDelete
  14. Ankal mithupu mie nashukuru kwa kupokea salam zangu siku ulipokuwa unaanza safari. I hope hakukubania maana niliomba akwambie kuwa huwa nakudhimia thanaa ankal :-) Kila la heri huko

    ReplyDelete
  15. Hivi kweli Tanzania jamani, huu msururu wa watu kwenye huu mkutano ni wa nini hasa? Hapo wapo kama ishirini hivi bila wapambe na wasaidizi! Nchi ile..kmmk!

    ReplyDelete
  16. mheshimiwa vipi hanywi maji ya huko,namuona na kichupa chake cha kilimanjaro water tofauti na wengine

    ReplyDelete
  17. ujumbe wa watu wengi hivi wa nini?Huku nikutumbua pesa za walipa kodi tu

    ReplyDelete
  18. Kikwete kwenda huko Swiss safari hii, tunategemea atawaambia mataifa makubwa yarekebishe mikataba ya madini ya makampuni yao nchini Tz ili iwe na manufaaa kwetu pia.
    Kiongozi kama Kagame, huwa anasafiri mara chache ili kuipunguzia nchi yake gharama za kumsafirisha yeye na walinzi na wajumbe wengine, Jk sasa ni wakati wa wewe kupunguza safari na kutuma mwakilishi badala yako kwa safari zisizo na tija. Magazeti ya nje na ya nchini tanzania yamekuwa yakiongelea hili kwa muda sasa.

    Ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  19. JAMANI FUATILIANI HABARI UNAMLAUMU MCHUZI KWAKUTOKUAMBIA IKO WAPI DAVOS...INAONEKANA WENGI MNAPITWA NA MABADILIKO YA NCHIN.TANZANIA NI MPIGA DEBE IA WA MAMBO MENGI FUATILIANI SANA WATU WATAJIKUTA WASHAMEZWA KWA KURUPUKA KUWAKUMBATIA VIBARAKA "ZIONIST".PIA HUU NI MKUTANO WA THE GREAT TRANSFORMATION: SHAPING "NEW WORLD ORDER". MICHUZI NA HII BANIA BASI

    ReplyDelete
  20. delegation imeenda kuomba hela binafsi kwa kutumia mgongo wa nchi tanzania huo ndio ukweli

    ReplyDelete
  21. Madaktari nchini wanalalamika hawapewi mahitaji yao. JK na watu wako mnatumia milioni 300 kwa ziara kama hii. Tena huu mkutano mwaka huu umelenga mataifa ya ulaya tuu, na huo msururu wote wa nini? Mil.300 for 8 days? kweli Tz ni zaid ya uijuavyo

    ReplyDelete
  22. Hahaaa huhh ili koti la Mhn waziri kweli linastahili marekebisho..!!!
    Limekaa kama samaki vile..!!
    Teheee ama kweli ....!!!!!!

    ReplyDelete
  23. Leo nimeamini. Kweli ukitaka kumficha kitu mswahili weka kwenye maandishi. Inaonyesha wanaolalamika hapa wote wamesoma kichwa cha habari wakamaliza, na hawataki kujishughulisha kusoma maelezo chini ya picha. Kwa hali hii, JE TUTAFIKA? Kwa faida yetu, maelezo ya picha yanasomeka hivi: President Jakaya Kikwete holding a preparatory meeting with his delegations soon after arrival at the Davos Sheraton in Switzerland Je hapo kuna haja tena ya maswali? Au lugha gongana?

    ReplyDelete
  24. nyie waau huko juu mkome kuangalia picha bila kusoma maelezo, ndio maana mnapitwa na mambo muhimu halafu mnaleta jazba humu ndani, sijui darasani ilikuwaje vilaza nyinyi, imeandikwa hapo kabisaa wapo huko "sheraton in swetzerland" sasa sijui huwa mnachangiaje hoja bila kusoma kwanza inahusu nini nyinyi nidiyo kenge kwenye msafara wa mamba!

    au mlitaka iwe kempinsk tanzania ndo mngeelewa, kaaazi kweli kweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...