Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa na watoto na wajukuu zake kijijini kwake Kibaoni Mpanda wakati wa mapumziko ya  Krismas na mwaka mpya. Picha na mdau Hilary Bujiku wa PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Safi sana! I love to see how our politicians are at home. You can see how he is loved by his family and that makes me feel safe and represented as a Tanzanian by my Prime Minister. All the best to you and your family for 2012 Mr. Prime Minister.

    ReplyDelete
  2. mbona alivyoenda kupumzika kule serengeti kupumzika hamkuweka picha yake mtoto wa mkulima katika hoteli ya gurumeti kwa siku dola.... hadi aibu kuzitaja kwani nyingi haifai ndo mtoto wa mkulima huyo??? haya ila huku kwao ndo mnatutumia picha kutudanganya

    ReplyDelete
  3. haters wee Tue Jan 03,02:20 pm 2012 acha hivyo mwaka una anza na roho mbovu Big up mtoto wa Mkulima jamaa yupo poa kijijini hata watoto wamefurahi na katika familia pana bino hivyo anajali wewe hapo maisha yako pengine unapiga box hatakwenu hufiki kwa kua maisha umeya patia

    ReplyDelete
  4. Huyu ni mfano wa Nyerere. He works hard!

    ReplyDelete
  5. i would like to see him smile naturally some day!!!not politik smile!coz they all have it!!!!

    ReplyDelete
  6. Huyu jamaa nilishawahi kukutana nae, ni simpo sana tena mtu wa watu. Acha unafiki wewe, ulikuwepo huko Serengeti? Huyu jamaa wanambania tu watu fulani, lakini yangelikuwa maamuzi yake mwenyewe tungekuwa mbali sana.

    ReplyDelete
  7. Nafikiria siku moja kumualika huyu "mtoto wa mkulima" tuje kula ugali na sukuma wiki, katika makaazi yangu. Njia gani nitumie ili mualiko wangu umfikie?. Msaaada tafadhali.

    ReplyDelete
  8. Mnyonge nyongeni lakini haki yake apewe. Nakubali kabisa Mh Pinda anamuwakilisha mtanzania wa wastani kabisa. Angalia alivyotulia kijijini kwake. Ingekuwa malimbukeni wengine hapa ungewaona uzungu na mamiwani yao ya dhahabu. Heri Ya Mwaka Mpya Mh. Pinda.

    ReplyDelete
  9. Mh Pinda utakuta kawadanganya watoto kama hiyo ni TV aliyoishika mkononi!!! lol

    ReplyDelete
  10. KWa hiyo wakubwa wa nchi wote walikuwa serengeti mpaka wakuu wa mashirika ya umma ! hongereni!

    ReplyDelete
  11. nimependa makochi aliyokalia

    ReplyDelete
  12. Well here we Ar stupid Tanzanians again,buy one picture u can tell every thing..what about the picture u haven't ..We give all credit in what we beliave in...ingekuwa same picture but lowassa on it...it could have been different...any way what we do best is talk...
    najua nimechanganya kizungu na kiswahili ili mseme zaidi

    ReplyDelete
  13. We bana comments za watu tu, utakuja kubanwa na weweeee, shauri yako! Acha mambo ya kitoto!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...