A doctor entered the hospital in hurry after being called in for an urgent surgery.
He answered the call asap, changed his clothes & went directly to the surgery block.
He found the boy's father pacing in the hall waiting for the doctor.
On seeing him, the dad yelled:
"Why did U take all this time to come? Don't U know that my son's life
is in danger? Don't U have any sense of responsibility?"
The doctor smiled & said:
"I am sorry, I wasn't in the hospital & I came as fast as I could
after receiving the call...... And now, I wish you'd calm down so that
I can do my work"
"Calm down?! What if your son was in this room right now, would U calm
down? If your own son dies now what will U do??" said the father angrily
The doctor smiled again & replied: "I will say what Job said in the
Holy Bible! "From dust we came & to dust we return, blessed be the name of God".
“Doctors cannot prolong lives. Go and intercede for your son, we will do
our best by God's grace"
"Giving advises when we're not concerned is so easy" Murmured the father.
The surgery took some hours after which the doctor went out happy,
"Thank goodness! your son is saved!"
And without waiting for the father's reply he carried on his way
running. "If U have any question, ask the nurse!!"
"Why is he so arrogant? He couldn't wait some minutes so that I ask
about my son's state" Commented the father when seeing the nurse
minutes after the doctor left.
The nurse answered, tears coming down her face: "His son died
yesterday in a road accident, he was in the burial when we called him
for your son's surgery.
And now that he saved your son's life, he left running to finish his
son's burial."
Moral-"Never judge anyone..... because U never know how their life is & what they're going through"
kaka wa aina hii wachache sana na sijui kama wapo kwenye hili kundi la waliogoma!!wenye moyo wa aina hiyo.
ReplyDeleteSuch a loving and tolerant doctor's heart?, very rare in our times! Shouldnt we learn to listen and avoid judging? Thinking always on issues happening on your side is SELFSHNESS! God serve us from this pervasive world! I had my lesson today. What about you?
ReplyDeleteUnajua hizi story ni KATIKA nnchi ZENYE uzalendo wa kweli kama Rwanda nnchi ambazo unajua kweli hakuna RUSHWA na SERIKALI kweli haina HELA sasa HAPA Leo unaskia FLANI kapiga 1 Billionn kessho 64BIll Somerville kwenye VITU vya Kijinga UTakua na uzalendo kweliiiiii tafakari
ReplyDeleteOooh my God...yaani nimetoa hadi machozi,huyu Daktari ana moyo wa tofauti sana...nimeguswa sana na hii story hata kama si ya kweli,i wish hawa madaktari waliogoma waione wote.
ReplyDeleteVery touching indeed
ReplyDeletetatizo letu tunadhani kuwa Madaktari si binadamu, hawana matatizo ya kifamilia wala hao hawaumwi!wenye shida ni sisi tu!
ReplyDeleteMh! Ankal this is very touchy - umenigusa sana.
ReplyDeleteWewe unaesema madaktari waone hii fikra zako ni fupi sana; kwa nchi yetu ya Tanzania madaktari hawajatendewa haki kabisa acha wagome mpaka haki yao itendeke hata kama leo mie ntafia mapokezi sitawalaumu kwa sababu na wao ni binadamu na wahitaji kama mimi. TUSIOGOPE UKWELI WA HALI HALISI sio tu kuwalaumu hawa wenzetu.
ReplyDeleteJonny kulia ni dalili mojawapo ya kuwa somo lililopo kwenye muktadha huu ni la adimu kwani katika hali halisi ni vigumu si kwa daktari hata sisi sote kuacha mambo yetu binafsi na kujali kazi. Wakati umekwenda wapi ambapo jamii yetu imekuwa ikitazama kila mmoja wetu kama kiungo ndani ya mwili. Hongera sana kwa aliyeweka hii mtandaoni, umeifanya siku yangu kuanza kwa tafakari mpya kabisa.
ReplyDeletewhat a lesson! very touching,OMG
ReplyDeleteHadithi ni nzuri na inasikitisha. Lakini swala la madaktari kulipwa linabaki palepale. Kama Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya anafikia mpaka kukejeli taaluma ya udaktari inaonyesha jinsi gani huyu pamoja na kusoma ujinga haujamtoka. Anapougua huwa anatibiwa na wahasibu wenzake? Daktari kujitoa hata kama ana tatizo inatokana na jinsi anavyothaminiwa. Madaktari wetu hawathaminiwi. Ipo haja ya kubadilisha taratibu za kuteua Mawaziri na Makatibu Wakuu, ifuate taaluma ya wizara husika. Nikirudi kwa wanaowaponda madaktari waliogoma naweza kusema ni wale wanaounga maamuzi ya Katibu Mkuu wizara ya afya. Hivi yeye angekuwa halipwi stahili yake angefurahi na kufanya kazi kwa moyo mmoja? Hawa madaktari nao wanakabiliwa na changamoto za maisha hivyo wanastahili kulipwa haki yao. Tatizo watanzania wengi tunasumbuliwa na ubinafsi ambao umepelekea hata serikali kutotekeleza wajibu wake. Utasikia fedha za EPA zimeibiwa mara karani kaiba fedha za mikopo elimu ya juu. Mpaka fedha nyingi kiasi hicho zinaibiwa wakubwa wanakuwa wapi. Suala la madaktari kutolipwa stahili yao ni mwendelezo wa jeuri ya serikali kutowalipa walimu. Aidha wadau mtakumbuka wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) mpaka wengine walikutwa na mauti bila kupewa haki yao. Hii jeuri ya serikali tutaendelea kuibeba hadi lini? Mbona wabunge wamejiongezea posho kwa kisingizio cha ugumu wa maisha. Madaktari hawajadai kuongezewa mishahara, wanachodai ni kulipwa haki yao. Sasa kama serikali imejifanya kiziwi mnataka wafanye nini. Hao ni watu ambao nao wanajibika kwa familia zao kama jinsi walioongezwa posho wanavyowajibika. Tusifikie mahali tukawaona madaktari hawana utu. Nao wana haki ya kuishi maisha mazuri kama wabunge. Kila mmoja wetu ajiulize kama mfanyakazi wa serikali/kampuni, mfanyabiashara n.k. angekuwa hapati malipo au biashara anapata hasara angeendelea na kazi au biashara hiyo. Madaktari endeleeni kuishinikiza serikali iwalipe haki yenu. Hata padri waumini wasipotoa sadaka anakuwa mkali.
ReplyDeleteHii hawakupaswa kusoma madaktari waliopasa kusoma ni MAFISADI.
ReplyDeleteMADAKTARI WAMEACHA FAMILIA ZAO NA NJAA WANAENDA KAZINI WAO WANATEKETEZA HELA TENA SIO KWA JAMBO LOLOTE LA MAANA BALI KUPEANA POSHO ZA "MIAKA HAMSINI YA UHURU" HELA ZA MADAKTARI, ZA WATOTO MIKOPO,ZA KUJENGEA SHULE ZAHANATI, HAPO PANA HAKI.
Ooh! nimeguswa sana!mtu wa aina hii pia anamjua mungu. Lakini kwa upande mwingine, tusiwalaumu madaktari wetu nao wanatakiwa kuwezeshwa.Inafika kipindi daktari unatakiwa ukamfanyie mgonjwa operation,wakati huo hujui nyumbani watakula nn! Hv si unaweza kuua hapo,kwa mawazo?
ReplyDeletekwa nchi kama yetu wachache ndo wenye roho ka hii,it real sense..
ReplyDeletemsilete jokes zenu humu kutafuta sympathy huku wengine wanakula kuku kwa mirija ati sirikali haina hela, madaktari hadi kielewekeeeee, hata walete misamiati gani kazeni uziiii....
ReplyDeletenimeipenda hii jamani. Ingawa katika uhalisia ni vigumu sn.
ReplyDeleteWewe usikitishwa na kugoma au unasikitishwa na hadithi hii.
ReplyDeleteHadithi inatufundisha uzalendo haisemi madaktari wetu wote ndivyo wanvyofanya kwa wagonjwa japo wote wanagoma.
Natumia neno wote kwa kuwa si madaktari wote wasio na uzalendo,wapo tena kuzidi hadithi hii.
Lakini tuache mgomo wakati watu wanakufa.
Mkipewa mnachodai mtawarudisha waliokufa wakati wa mgomo?
KWELI KWA HALI ILIVYOLETWA ITAMGUSA KILA MTU MWENYE AKILI, ILIVYOANZA HUNGEDHANI INGEISHIA ILIVYOISHIA. YULE BABA SIJUI ATARUDI SIKU INGINE AKATOE POLE NA KUOMBA MSAMAHA KWA DR.? NA KUHUSU MADAKTARI WETU HAPA TZ LAZIMA WAAMULIWE HARAKA WALIPWE KULINGANA NA STAHILI ZA KAZI ZAO, MBONA WABUNGE WANAFIKA BUNGENI ASUBUHI HADI JIONI AKITOKA UKIMUULIZA KAFANYA NINI KIKUBWA NI WACHACHE WAMECHANGIA NA WENGINE KUUCHAPA USINGIZI KWA UCHOVU WA JANA KTK STAREHE NA WANALIPWA VINONO NA BADO WANADAI NYONGEZA. JUZI WAMESHABIKIA ETI NYONGEZA YA FERI SH 100 IKAWA JAMBO LIMEZUA JAMBO. WAACHE KUTAKA SIFA KWA VITU VIDOGO, SASA WAONGELEE KWA KINA HILI LA MADAKTARI NA WAALIMU PIA MIKOPO KWA WANAVYUO N.K.
ReplyDeleteHUYU DAKTARI HAKUFIKIRIA HELA KWANZA, HAKUSUBIRI KIELEWEKE KWANZA, HAKUSUBIRI MAAMUZI YA WAKUBWA WALA KUM JUDGE MTU HATA HUYO MZAZI WA MTOTO PAMOJA NA YOTE, ALITIMIZA WAJIBU KWANZA KAMA BINADAMU... HELA ATADAI BADAE
ReplyDeleteNADHANI NI MFANO MZURI SANA KWA KILE KINACHOENDELEA HAPA TANZANIA,,, WENGI WETU TUMEKUWA TUKIDHANI ETI MADAKTARI WANA ROHO MBAYA NDIO MAANA WANAGOMA KUMBE SI HIVYO BALI WAO PIA WANA MATATIZO AMBAYO YANABIDI KUANGALIWA IKIZINGATIWA KUWA WANAFANYA KAZI 36 HOURS HALAFU ALIPWE 10,000/= THIS IS NOT FAIR
ReplyDelete