Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Bw. Dickson Maimu anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mpendwa, Deborah Maimu kilichotokea Alhamisi tarehe 26 /01/ 2012 wakati akitoka India kupatiwa matibabu.

 Taratibu za maziko zinafanyika Mikocheni A, Migombani Street karibu na REPOA nyumbani kwa Bw. Dickson Maimu. Mwili unatarajiwa kupokewa Jumatatu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumanne tarehe 31/01/2012 jijini Mwanza.

Bwana alitoa na Bwana Alitwaa,jina lake lihimidiwe.

Amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...