Hii ni nguzo ya Umeme ikiwa imeanguka pale Mikocheni kwa Mwalimu Nyerere,mtaa wa Nyuma ya kituo cha Mafuta cha BP na tayari taarifa ishatolewa kwa wahusika wa Tanesco lakini mpaka muda huu hawajafika eneo la tukio.sasa sijui wanataka mpaka lizuke la kuzuka ndio waone kama hili ni tatizo??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mapaka iuwe ndio itatolewa chapchap, lkn midam haijaleta mazara haina noma

    ReplyDelete
  2. watu waelimishwe wanapita na vigari vyao bila woga

    ReplyDelete
  3. Mpaka atokee wa kutoa RUSHWA ndio itashughulikiwa!

    ReplyDelete
  4. Waitwe watu wanaohitaji KUNI waukate huo msitimu.. Hasara hasara

    ReplyDelete
  5. Wasimamisha nguzo bado wapo katika mapumziko ya xmas na mwaka mpya, MSIWASUMBUE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...