Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) na Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,(katikati) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,(kulia) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi,Walimu na Wanafunzi,wakati uzinduzi wa Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,katika Skuli ya Mwanakwerekwe C,(katikati)Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt, na (kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Maalim Seif Sharif.
Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,akitoa hutuba yake wakati wa ktika picha ya pamoja na Viongozi wengine na wanafunzi wakati uzinduzi wa Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,katika Skuli ya Mwanakwerekwe C.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,na Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,wakinyanyua kompyuta iliyotolewa zawdi na Balozi wa Marekani,wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,uzinduzi huo ulifanyika janakatika Skuli ya Mwanakwerekwe C.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,(wa pili kulia) na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,(kulia) na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Amali Zahra Hamadi,(kushoto) alipofika katika Skuli ya Mwanakwerekwe C,kuzindua Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) Balozi wa Marekani Nchni Tanzania Alfonso Lenhardt,(wa nne kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,wakiwa ktika picha ya pamoja na Viongozi wengine na wanafunzi wakati uzinduzi wa Mradi wa Elimu wa Karne ya 21,unaohusiana na Elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Skuli za Msingi hapa Zanzibar,unaofadhiliwa na Shrika la Misaada la Marekani USAID,katika Skuli ya Mwanakwerekwe C.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
way to go mr. alfonso. thanks for bringing the change!! god bless u,god bless the united states of america
ReplyDeleteHaya Maalim Seif, nakuona, lengo lako sasa limetimia. Keep it up.
ReplyDeleteHawa ni mafuta tu wanataka.Watahakikisha mikataba yote ya Mafuta,Gesi na Uranium wanaipata wao.
ReplyDeleteHongera Marekani sio hao Waarabu kutuletea dini tu na ubishi Tanzania inahitaji kuendelea, kwa elimu sio kusomesha materrolist.
ReplyDeleteHongera kaka balozi kweli we need a change
Ndugu unaeongea kuhusu Waarabu wacha ujinga, Waarabu washasaidia mangapi hapa Tanzania lakini hawajionyeshi, kwa kufanya sherehe kubwa ya kutoa msaada kuliko hiyo misaada yenyewe. Bila ya kusahau unapotaka kuandika neno la Kiingereza jifunze Spelling kwanza.
ReplyDeletewewe anon hapo juu eti hongera kaka balozi heheheh hahahha umenichekesha sana yani kwakuwa huyo balozi ni mmarekani basi amekuwa ni kaka yako
ReplyDeletena una maana gani kusema warabu wanasomesha uterrolist ina maana wewe ndio walewale wenye imani kuwa dini ya kiislam ni dini ya kigaidi
kubwa zima bado unashangilia utumwa mambo leo wewe ndio wale wanaojisifia kuwa watumwa kule marekani kwa kuitana nigga nenda shule achana na ulimbukeni wako wa maisha internet imekutoa matongo.