Assalam alaikum ankle.
Mwenzio ninashangaa hapa Tanzania kwetu inapotokea umuhimu wa kitu basi wenye mamalaka na hicho kitu hukificha au kukibania kisa wengi wankihitaji.

Nimejibana kula nakunywa vizuri kwa mwezi mzima nikanunua kingamuzi cha star time ili nifaidi uhondo wa mpira kwa nchi zetu za kiafrica.chakushangaza ankle najua huwezi amini inapofika wakati wa mechi wachezaji siwaoni ninaona "no signal"na mechi ikiisha mambo kama kawaida hii ni kwanini?naomba wenye utaalamu watujuze maana huku mitaani kila wakikata sisi huwa tunawapa laana kwa ushahidi zaidi hebu anagalia KBC UTAJIONEA MWENYEWE
MDAU- FICHA KAJINA KANGU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawataki tz muone hzo mechi ndio maana wanakata sbbu hatuja nunua haki ya kuonyesha kituo chochote cha tv bongo.

    ReplyDelete
  2. Wanataka ulipie bouquet ya Tsh18,000/= ili uone UBC ya Uganda na sio ya kwako ya 9,000/= unayoweza kuona KBC.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...